Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye...
0 Reactions
4 Replies
494 Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
33 Reactions
122 Replies
8K Views
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi...
2 Reactions
109 Replies
6K Views
Ukiweka Siasa Pembeni hatuna Watangazaji levo za kuwakaribia Wakenya, na tuna kwama sana kama nchi, kama umefuatilia mahojiano ya leo jioni ya Ruto na Watangazaji wa habari utagundua kwamba tuna...
45 Reactions
206 Replies
8K Views
Wakuu, Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge! Makamba naye alitoa boko lake...
7 Reactions
36 Replies
5K Views
My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee πŸ™πŸ™πŸ‘‡πŸ‘‡ === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa...
47 Reactions
745 Replies
66K Views
Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine...
6 Reactions
143 Replies
9K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimechukizwa na ugumu wa maisha unaowakabili wananchi kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa, utitiri wa kodi, tozo, ushuru na mazingira magumu ya kujipatia kipato...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni . Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya...
59 Reactions
226 Replies
10K Views
Jeshi la Tanzania mmewaangusha watanzania, mnasema mnalinda raia na mauaji yaliyotokea oktoba 29 mmeyakalia kimya? Wasanii wa Tanzania marufuku kukanyaga Kenya.
8 Reactions
17 Replies
716 Views
Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na...
6 Reactions
30 Replies
660 Views
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa...
11 Reactions
175 Replies
9K Views
Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi. Anachofanya Samia ni...
21 Reactions
136 Replies
6K Views
Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa taarifa zisizo RASMI( unpublished data) ni kwamba Dr Mpango amekuwa haridhishwi na namna nchi inavyopelekwa kwa sasa hasa kwenye uwekezaji wa resources . Kwa mfano, uwekezaji wa DP world...
45 Reactions
141 Replies
11K Views
Wanawake kwenye Nafasi za Uongozi ni mada muhimu inayozungumzia umuhimu wa kuwapa wanawake fursa zaidi katika uongozi na kuondoa vikwazo wanavyokumbana navyo. Jambo hili linaweza kufanikiwa kwa...
2 Reactions
11 Replies
917 Views
Kuko kimya, hakuna vitisho vya maandamano. Au muda bado?
2 Reactions
6 Replies
298 Views
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya...
9 Reactions
122 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…