Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi. Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29...
30 Reactions
93 Replies
5K Views
Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100 Ni pesa ndefu.. Naomba GenZ wenzangu nipeni connection Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi Binafsi mimi hata...
6 Reactions
14 Replies
418 Views
Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem...
5 Reactions
153 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi. Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe. Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya...
33 Reactions
337 Replies
40K Views
Kila mtu anashangaaa. Wachambuzi wa Afrika wanashangaa. Wachambuzi wa Dunia wanashangaa. Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku...
9 Reactions
17 Replies
742 Views
Naomba wenye cv za hao watu wawili waziweke hapa tuzichambue.
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
"Kuna matatizo ya msingi hayajashughulikiwa yamelundikana na tumeamua kuacha kusimama kwenye ukweli watu wanatekwa hakuna solution. Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko polisi...
1 Reactions
13 Replies
390 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kwa sasa Tanzania hakuna utamaduni wa election (uchaguzi)...
1 Reactions
2 Replies
295 Views
Yatakuwa maandamano ya mfululizo. Mayii! Nye Nye Nye. D9 ndio kipyenga. Twaenda mpaka D17. Walahi sijui miye. Nyote mwajua nini mfanye Siku hizo. Twasoma vidoleni hao. Hehee. Na bado
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli Muungano umekuwa...
1 Reactions
4 Replies
259 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila akizungumza na waandishi wa habari, ametoa wito kwa wakazi wa Dar kuripoti kwa vyombo vya dola makundi ya watu ambayo hayaeleweki vizuri ili hatua za haraka...
0 Reactions
31 Replies
796 Views
DeletedMember281674
Malalamiko ya Wananchi wa Taifa hili siku zote imekuwa kutokuwa na Haki katika chaguzi, uongozi mbovu wa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe wananchi Lakini huyu Shetani mla damu za watu...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Hakuna kijana alielipwa ili aandamane, tunamtaka Waziri Mkuu aje na Uthibitisho wa kijana huyo kulipwa. Na wao si wana uwezo wa kuzuia malipo aina yoyote ? Kama wanajua mtu analipwa Billions...
12 Reactions
24 Replies
520 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani, Mohamed Chande, amesema kuwa tume anayoiongoza imeundwa kwa mujibu wa sheria. Ameyasema hayo leo katika mkutano wake na wahariri wa...
0 Reactions
5 Replies
279 Views
Serikali ya CCM inatakiwa ijue kusoma alama za nyakati vyema hatupo enzi za Nyerere, kama ni kuua raia ndiyo njia ya kuzima sauti za wananchi basi wateketeze taifa lote kwa petroli Washauri wa...
3 Reactions
2 Replies
247 Views
Watu wenye silaha, wakiwa na gari aina ya Toyota Landcruizer isiyo na plate number wamevamia nyumbani kwa mwanaharakati wa mazingira na kada wa CCM, Alex Chage mjini Morogoro majira ya saa 8 usiku...
5 Reactions
26 Replies
797 Views
Wakuu Ni muda kidogo sikuwasikia hawa jamaa wa CHAUMMA hadi nikawa najiuliza wameamua kula mafao baada ya kukifanya walichokifanya baada ya kuhamia huko, ila kumbe walikuwa likizo bhana. John...
0 Reactions
10 Replies
454 Views
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu. Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…