JF
Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.
Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.
Haki huinua...
Wanabodi
Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo
Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani...
Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu.
Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule...
Hivi ndiyo muhubiri anasema
"Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa...
Kuna kajamaaa kalisema kuanzia tarehe 1 miamala itakuwa haifanyi kazi
Alisema hamehack system ya BOT na yeye ndo anaweza kublock. Mbona mpaka leo kimya ?
Ndo tujue Watanganyika tunadanganyana sana
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon, Anicet Ekane (74), amefariki dunia akiwa rumande siku ya Jumatatu, baada ya kukamatwa kufuatia maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Oktoba.
Ekane...
Sizungushi. Kichwa cha habari kiko wazi. Hivyo, ndiyo itakavyokuwa.
Hivyo, watanganyika wanaotumika na kuuza uhuru na utu wao, waache mara moja.
Mtaachwa na Tanganyika yenu na watu wake kwa...
Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua...
Baada ya kumsikiliza kwa makini huyu jamaa katika hizi ziara zake za hivi karibuni, nimejiridhisha kabisa kwamba kama alipewa nafasi hii kwa lengo la kufanya propaganda za kuunganisha taifa na...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa...
Uzuri hoja za Padri ziko sahihi na zimenyooka na niza moto kweli kweli.
Ila kuanzia kesho tutarajie kuona wale walio lipwa na wahuni wa kijani kuja kumshambulia badala ya kujibu hoja.
Wataanza...
Watanzania wengi wanapenda kuamini kwamba vyama vya siasa ndio injini za maendeleo: CCM, CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF, TLP, ADA-orodha ndefu, matumaini machache. Wanapenda kufikiri kwamba...
9 desember ni mpango wa Mungu inaongea vitu ving kwa pamoja
Kwanza ni arobain ya watu waliouwawa tarehe 29 mwez wa 10 9 desember inatimia siku ya 40 mwisho wa msiba
Ukifungua biblia zabur 9...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima amesema anashangazwa kuona Mamlaka zinathamini vitu kuliko uhai wa Watu ambapo wametoa takwimu za vitu...
Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa...
Watanzania husani vijana tuendelee kuchapa kazi nchi iko salama kwa vyombo vya ulinzi jinsi vinavyofanya kazi kwa sasa mpaka kwa muuza kahawa na mcheza bao mtaani.
Nimesikia mwanaharakati mmoja...
TEC imekuwa ikipinga utekaji ambao umekuwa ukifanywa na CCM, ila CCM yenyewe imekuwa haitaki kupingwa na yeyote kuhusu mambo hayo haramu
TEC imekuwa ikiishauri CCM kuwa, si vizuri wapinzani...
NINAFIKIRI KIJINGA!?
1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume...
Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
__________________________
GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU!
Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia...