PostGE2025 Ulipaswa kuhutubia wahusika(Gen-Z)

PostGE2025 Ulipaswa kuhutubia wahusika(Gen-Z)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
22,199
Reaction score
42,925
Wrong audience.

Hao wazee wamejichokea wamebaki kulea wajukuu na vitukuu hawana mawazo mapya.

Watatoka hapo wakikusifu mana hawajui walijualo wanasubiri tu ile pekeji yako wakanywe kahawa.

Hao wazee ni wazee wa sisiem hawana jipya.

Tafakari.
 
Hakuna wazee hapo, ni magumashi wa down town wazee wa buku 7. Wameiba demokrasia kwahiyo lazima watumie kodi zetu kununua watu. Mbwa hawa
 
Ccm wanaogopa HAKI na GEN-Z.
Ukitaja haya maneno mawili matumbo Yao yanapata joto!
 
Wrong audience.

Hao wazee wamejichokea wamebaki kulea wajukuu na vitukuu hawana mawazo mapya.

Watatoka hapo wakikusifu mana hawajui walijualo wanasubiri tu ile pekeji yako wakanywe kahawa.

Hao wazee ni wazee wa sisiem hawana jipya.

Tafakari.
Chimama hawezi kukaa chumba kimoja na Gen Z au kundi la vijana
 
Back
Top Bottom