Sisemi mengi;
Kwa kauli yako mwenyewe umethibitisha kwamba Taifa letu liko imara na hakuna atakayeleta nywinywi,nywinywi wala nywinywinywi.
Sasa nafikiri Tuendelee kuijenga nchi. Bila kujali...
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi.
Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu...
Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye...
“Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana uwezo wa kiakili na kimasikini wa kuongoza jamii. Wape bunduki, watakutana na kuua wao kwa wao. Wape mamlaka, wataiba fedha zote za serikali. Wape...
Hivi inawezekana kwa nchi yenye watu tofauti ikastawi. Maana kwa kuangalia harakaharaka naona nchi karibu zote ambazo zina usalama na zimeendelea ni zile ambazo watu wa rangi, dini na lugha moja...
Salaam!
Maskini, mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"...
GTs,
Yule kijana mtumishi wa Mungu wa Arusha aliyeoneshwa na Mungu Samia atakuwa ana fanya mambo ya kitoto ndiyo haya tunayaona. Yaani wenye akili wamekaa kusikiliza pumba na ujinga ujinga. Can...
Waliosikia na kuielewa hotoba ya leo ya Samia watakubaliana nani. Ameonyesha kushabikia udini na vurugu. Akiri. Urais hauwezi.
Aachie ngazi. Unamfunga mtu halafu unamlaumu. Hii ni haki kweli...
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani...
Sina mengi, leo nimesikiliza hotiba ya Rais Samia, nimeshangaa, nimesikitika na kuhuzunika sana, sikutemea.
In short father Kitima, kwa usalama wa maisha yako ni bora anza kuishi kama Askofu...
Kila mtu ahakumiwe Kwa makosa yake sio Kwa sababu ni Mtanganyika au mzanzibar
Kila mtu apimwe uwezo wake wa uongozi sio kwa jinsia ya kike Wala kiume
Hii tabia inawapa maadui wa haki na...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu uzalendo.kila Mmoja kwa nafasi yake,muda wake,sababu yake na mahali pake amejaribu/wamejaribu kujipambanua kuwa wazalendo.
Kwa tafsiri ya haraka isiyo rasmi...
sitaki kuamini amekubali mwenyewe akutwe na haya
Mama alianza vizuri sana akiwa na msimamo wake mwenyewe na huku akichuja Kwa umakini ushauri ,
Miaka michache ingetosha kuweka historia yake...
Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi.
Hata kama serikali itakana...
GT
Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu.
Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai...
Wakati Mugabe anatwaa Mashamba kwa ya Wazungu na Mabeberu wakawa wana mkosoa Mgabe, naye alikuwa anatafuta sifa kwa wanachama wa ZANUPF yake alikuwa anawahutubia na kuwaambia wale hawawezi...
Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
Jana Des 2, 2025 saa 7:11 mchana Watanzania wote wameona na Dunia imeshuhudia mliosilimishwa/kubatizwa na kupewa jina la Wazee wa Dsm mkipiga makofi kushangilia kauli ya mama Samia aliposema nguvu...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu na njama za kupangwa za...