Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,605
- 16,167
GTs,
Yule kijana mtumishi wa Mungu wa Arusha aliyeoneshwa na Mungu Samia atakuwa ana fanya mambo ya kitoto ndiyo haya tunayaona. Yaani wenye akili wamekaa kusikiliza pumba na ujinga ujinga. Can you imagine First Class ya Economic inasema eti walihongwa hela na inasadiki.
Kwa ujumla katiba yetu ni ya kijinga sana haipaswi kuendelea ifumuliwe kama sasa huyu Mama yetu alipaswa awe jela