Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro limesema linafuatilia taarifa za kutoweka kwa Mtawa aliyetambulika kwa jina la Silianus Korongo (49) mkazi wa mtaa na Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, ambaye...
Kampuni ya Itel East Africa Limited ilijiandikisha rasmi tarehe 15 Februari 2013, ingawa inadai kuwa imekuwa ikifanya kazi tangu mwaka 2010. Kampuni hii, ambayo ofisi zake ziko Dar es Salaam...
Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi?
Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo...
Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na...
Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC?
Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC
Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC?
Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC?
Zitto Kabwe...
Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Tanzania imedhamiria kuhakikisha inalinda afya, maisha ya watu na mazingira kwa kutoa kipaumbele katika...
Habarini za Jioni Ndugu wana JF.
Kwa pamoja wote tunao litakia mema taifa letu tuungane kukataa vurugu zisizo na tija kwa maslahi ya wachache wanaotumiwa kuliharibu taifa letu tulilolirithi...
Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi...
Kawaweka ma-'Rear Admiral' (ulisha waona lakini?); majenerali anaowaamini yeye kwenye sehemu za jeshi akilenga kumbana kikaragosi alichokiweka kama maonyesho kwenye nafasi ya juu ya jeshi, na hapo...
Watu wengi hawajui kwamba ajira ni kitu kidogo sana ukilinganisha na utengenezaji wa utaifa. Taifa halijengwi na mishahara, halisimami kwa posho, halihifadhiwi na mabango; taifa linajengwa na...
Mahakama ya Rufaa Tanzania wamekuwa wakijinasibisha kuwa wanatumia kanuni ya FIFO (First In and First Out) kushughulikia mashauri ya madai mahakamani jambo ambalo si kweli.
Nina madai ya rufaa...
Wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi na jumuiya ya kimataifa kuhusu hatua zilizochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima intaneti intaneti siku ya uchaguzi Oktoba...
Muammar Gaddafi, dikteta wa zamani wa Libya, alipoambiwa kuwa karibu serikali ya nchi jirani ya Misri ingeangushwa na waandamanaji, ajibu "kumbuka hii ni Libya."
Omar Bashir dhalimu wa zamani wa...
Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali.
Majeshi yakigawika kwa misingi ya imani za kidini, hayawezi kuwa loyal kwa mujibu wa viapo vyao na itawaathiri hata wale wanaotegemea...
“Mara nyingi watoto wetu wa sasa wanafahamu mambo mengi, hiki ni kizazi cha teknolojia; si enzi za Mama Terry…tunapaswa tuzungumze nao na pia tuwasikilize, siyo mtu aongee halafu kesho au saa nane...
David Misime: Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania
Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kulinda maisha ya watu na mali zao sambamba na kuhakikisha hali ya...