Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Samia aliposhauri na Kila mpenda amani kuwa hali ni mbaya ,aihirisha uchaguzi turudi mezani kama watanzania tuwe na uchaguzi huru na wa haki ulijiona mjanja na mbabe kwakuwa upande aliosimama nao...
16 Reactions
8 Replies
535 Views
Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa...
31 Reactions
50 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/live/R_ERBPwVE60?si=uVu108w1keo7MI_7 Katibu wa baraza la Maaskofu nchini TEC Padri Charles Kitima nafunguka namna alivyoshambuliwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu...
18 Reactions
121 Replies
9K Views
VIEWS 52,000 29 November 2025 Sumbawanga, Tanzania M/KITI WA CHADEMA SUMBAWANGA ADOLF MKONO AFUNGUKA MAZITO KWENYE KONGAMANO LA VIJANA | TUNA MAUMIVU https://m.youtube.com/watch?v=12pTD54NCT8...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Siyo muda huyu jamaa anapewa kitengo maana Samia anawapenda sana wapambee :BBRUHH: -------------- Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na mwandishi wa vitabu, Yericko Nyerere, ameituhumu...
1 Reactions
17 Replies
763 Views
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na...
47 Reactions
131 Replies
8K Views
Suala sio uhusiano mbaya wa Tanzania na USA tatizo ni samia Trump aingilie kati kushinikiza uchaguzi mpya kisha mgogoro utaisha hali itakuwa shwari Marekani ina tathimini uhusiaono na Tanzania...
1 Reactions
12 Replies
399 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutekwa kwa Fredrick Mang'era Kemange maarufu British, mkazi wa Kijiji cha Gwitiryo Sirari likieleza kuwa...
0 Reactions
4 Replies
413 Views
Kesi ya Uhujumu Uchumi namba 000021172 ya mwaka 2025, inayomkabili Mwanaharakati Mange Kimambi imeahirishwa mpaka Januari 28, 2026 baada ya upande wa serikali kuieleza mahakama kuwa upelelezi wa...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana. Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
Hivi kwa nini HAKI inakuwa kero kwa wengine, kwani HAKI ina ubaya gani? Kwa nini upende amani bila HAKI?
19 Reactions
37 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana. Albert Chalamila amezungumza hayo...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Mange account yake inaweza kurejea baada ya masaa 24 instagram hii nikutokana na kauli za hasira na matusi alizochapisha. Aidha bado unaweza kumfuatilia Twitter, tiktok na kwenye mitandao mengine...
15 Reactions
29 Replies
1K Views
Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya...
2 Reactions
22 Replies
601 Views
Zamani wananchi tulijua kwamba majambazi, wauaji, waporaji ni vikundi vya kihalifu vya watu binafsi hivyo wananchi hatukua na wasiwasi sababu ilikua rahisi kukabiliana navyo kwa kwa namna...
7 Reactions
5 Replies
341 Views
Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia. Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea. Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu...
9 Reactions
221 Replies
8K Views
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Larry Madowo ametoa taarifa ya majibu ya Meta sababu za Kufungia Account ya Instagram ya wanaharaki Maria Sarungi na Mange Kimambi; "Meta...
2 Reactions
12 Replies
931 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan...
63 Reactions
119 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…