Ndugu zangu Watanzania,
Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University...
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo...
Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa.
Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu.
Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za...
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama...
https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j-
Anasema:
1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo...
Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa...
Mara nyingi tumekuwa tukiwasikia viongozi wa Jeshi la Polisi wakiomba ushirikiano kutoka kwa wananchi, lakini cha ajabu ni kwamba wenyewe walipoonbwa ushirikiano wakagoma kabisa, mbaya zaidi ni...
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake..
Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea...
YAH: UTEUZI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR
Tafadhali husikeni na mada iliyotajwa hapo juu.
Ofisi ya Baraza la Mapinduzi inapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma kwa ujumla...
Hamjambo wote!
Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana.
Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ...
Kama ndani wa jukwaa hili la siasa,
Kwa mtazamo au maoni yako huru, unadhani kimetokea nini na kipi kinakwenda kuamuliwa hata kamati kuu ya chadema taifa kukutana kwa dharura kiasi hicho?π
Mungu...
πππ§. π πͺπππ¨ππ¨ πππ¨π§ππ‘π π‘π πͺππ πππππ πͺπ π ππππ¦π π‘ππππ‘π.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika...
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo?
Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi...
Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani.
1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna Kesi Ilivyoendeshwa na Kusikilizwa na namna ilivyokwenda na Utetezi uliotolewa ni Wazi Lissu Hawezi Kukwepa ama Kujinasua Kwenye Kupata Kifungo cha Maisha...
Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na...
Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP)...
Waundaji maudhui (content creators) wanaoripoti habari na kufanya mahojiano wametakiwa kupata kibali cha uandishi wa habari (accreditation) ili kufuata sheria
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya...