Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu! Wasanii tuwasamee au tuendelee kushikilia hapohapo mpaka kieleweke?
2 Reactions
6 Replies
303 Views
Nimeshangaa na kusikitika sana. Yaani vijana wanatamka bila woga. Kwamba Samia na Kikwete na genge lao wanafisadi nchi na kujitajirisha. Kibaya zaidi wanasema Samia na Kikwete haombi msamaha kwa...
6 Reactions
8 Replies
275 Views
  • Poll Poll
Kuelewa Addiction ni vigumu kwa watanzania kama Makonda, kwasababu wengi wenu hamjasomea Psychology Ya watumiaji madawa na sababu zao za kutumia. Msomi wa Addiciton Dr. Gabor Mate, anasema sababu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Pamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana. Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua...
20 Reactions
64 Replies
3K Views
Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji. Polisi watakao ingia mbele ya umma wanaweza kushambuliwa vikali hali inayoweza...
2 Reactions
15 Replies
339 Views
Binafsi Sina chuki yoyote na SHETA ni kuwa naheshimu sana, ila Niseme wazi huyu bwana hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar CCM heshimuni basi wananchi kidogo Mnafanya mambo kishabiki mno. Mnawapa...
19 Reactions
79 Replies
3K Views
Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za...
19 Reactions
49 Replies
1K Views
Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi? Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Maandamano ya amani yanawezekana. Mbezi sijui yaliyoanza na.kuisha
8 Reactions
22 Replies
1K Views
UN is watching YOU. AU is watching YOU. EU is watching YOU. SADC is watching YOU. ICC is watching YOU. EAC is watching YOU. COMMONWEALTH is watching YOU INTERNATIONAL NGO's are watching YOU...
18 Reactions
48 Replies
992 Views
Mzuka wana Jamvi ? Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia...
4 Reactions
41 Replies
980 Views
Niseme ukweli katika wasanii ninaowaheshimu wa bongo flavor Dully Sykes anashika nafasi za juu pamoja na Jongwe na Jize. Hivi mmeshawahi kumuona Dully Sykes akiimba kwenye majukwaa ya CCM kama...
5 Reactions
10 Replies
858 Views
Nahisi Kuna kitu hakipo sawa. Maana imekuwa ni rahisi sana kufuta maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika (Disemba 9) na Muungano (April 26) kuliko maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (January 12)...
1 Reactions
7 Replies
490 Views
Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
0 Reactions
17 Replies
589 Views
Kwa sisi wakatoliki, Unapoenda kutubu dhambi, Jambo Moja la msingi, Lazima ukiri na utamke kwa kinywa chako kwamba aidha ulizini, Uliiba, Ulisema uongo nk. Kabla ya kwenda kukiri lazima uwe...
1 Reactions
1 Replies
208 Views
Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki. Na mkiiachia iwaendeshe, haitawaendesha kama binadamu- itawaendesha kama mizigo. Kama gunia la mahindi lisilopiga kelele. Hayo ndiyo mmeanza...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
GT Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu. Ila ukweli ni kwamba wakileta...
2 Reactions
17 Replies
483 Views
Mtoto wa miaka 14 kutoka kijiji cha Arusha ameripotiwa kujinyonga baada ya madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na askari waliomchukua Oktoba 29. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, kijana...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Mtu wa nje/jirani hawezi kujua ugumu unaopitia bali wewe mwenye nyumba ndio muhusika Najua watu wengi wanatamani sunctions na international organizations kufanya jambo. Ni jambo zuri na la kheri...
1 Reactions
0 Replies
144 Views
familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
2 Reactions
8 Replies
311 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…