Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa...
1 Reactions
4 Replies
289 Views
KIFO CHA muamar Gaddafi>>>>> Louis Farrakhan, kiongozi wa Taifa la Uislamu, amekuwa akizungumza mara kwa mara kuhusu Muammar Gaddafi, kiongozi wa zamani wa Libya, hasa katika muktadha wa kifo...
1 Reactions
7 Replies
481 Views
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa viongozi wa dini nchini wanapaswa kuhubiri amani na upendo, badala ya kutoa matamko yanayoweza kuashiria uchochezi. Ameeleza kuwa mara kwa mara...
1 Reactions
10 Replies
414 Views
Binafsi, ninahisi uchungu na maumivu makubwa kwa kuona taifa letu linavyoelekea kwenye matatizo makubwa ambayo tungeweza kuyazuia kama tungekuwa na viongozi walio na elimu na uwezo wa kutatua...
3 Reactions
5 Replies
221 Views
Katika numerolojia maisha na matukio yake yanaweza kupunguzwa na kuonesha nguvu yake katika namba. Angalia hii: Tarehe 29/10/2025=2+9+1+0+2+0+2+5...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Ruka juu shuka chini umekataliwa
69 Reactions
198 Replies
10K Views
Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume...
2 Reactions
15 Replies
313 Views
Jeshi Kurusha ndege kila siku angani ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu kama wauwaji na watekaji mmewanyamazia sasa mnatafuta nini? Hizi ni akili za wapi? kila siku watu wanatekwa na kuuwawa...
11 Reactions
17 Replies
618 Views
Akizungumza na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa madai kuwa aliwapongeza vyombo vya habari kwa kutokutoa taarifa ni upotoshaji. “Sikuvipongeza vyombo...
2 Reactions
10 Replies
364 Views
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) litaendelea kusimamia maslahi ya Taifa, huku akiwataka Watanzania kuendeleza uzalendo na kulinda...
1 Reactions
11 Replies
510 Views
Historia hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua" Katika mapambano ya kujenga...
3 Reactions
24 Replies
710 Views
Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao...
2 Reactions
3 Replies
218 Views
Binafsi ninakerwa na serikali hii inavyofanya mambo yake. Kuna mambo yanahitaji diplomacy kidogo tu ila cha kushangaza serikali inatumia nguvu kupitiliza hadi inaamsha hasira za wananchi. Kuna...
-1 Reactions
9 Replies
297 Views
  • Featured
Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini. Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya...
75 Reactions
296 Replies
18K Views
Huyu mzee bhana ananifurahisha na kauli zake! Yani uzee wake ni kama Gen Z ============ Hakuna mwanaume atakae andanamana tarehe 9, jibu Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake...
17 Reactions
21 Replies
913 Views
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi...
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Usipotaka kuamini acha. Ila iko hivi wanajeshi wa Uganda waliokuwa wakishirikiana na kmkm kupiga risasi raia wako ndani kwenye mahabusu za jeshi makambini. Among other things huko maeneo ya...
58 Reactions
172 Replies
7K Views
Kitendo cha X kuvunja sheria za nchi na mkawaambia wajirekebishea ili muwafungulie. Na wao hawajajirekebisha hili kosa . Kama ni kosa kwa nini wewe undelee kulitumia kama njia ya kupeleka habari?
5 Reactions
6 Replies
256 Views
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima...
7 Reactions
13 Replies
385 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…