Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku.
Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia...
Wakuu habari zenu,upande wangu Mimi sijambo,japo Niko kwenye maombolezo ya mtoto wa dada yangu aliyeuliwa na Samia.
Naowaomba ndugu wazalendo wa jf Ili kuinyong'oneza serikali ya Samia na kuipa...
Wakuu,
Rais wa TAHLISO Bw Godfrey Kiliba amesema jumuiya hiyo haitashiriki wala kuunga mkono maandamano yasiyo na ukomo yaliyopangwa kuanza Desemba 9, 2025, akitoa msimamo huo leo Desemba 7...
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea...
Samia, Ndani kwenu mna makundi !.
Makundi mengine upo nayo ila yanakurahisishia Anguko lako.
Nimepatwa na Hisia, Ndani yenu, kuna watu wanataka KUMUUA KITIMA ili wachoxhee anguko lako...
Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.
Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi...
Huyu waziri wa wizara ya vijana anaweza fanya vizuri mno kwa sababu ni miongoni mwa vijana walio tokea upande mwingine wa KISIASA akaenda kujiunga nao Ili akatimize NDOto zake(mie sijui)...
Ndugu zangu Watanzania,
Viongozi wetu wa Dini wameendelea kutoa maneno ya nasafa na uzalendo mkubwa sana kwaTaifa letu juu ya kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu kwa wivu mkubwa sana. Ambapo...
Mgabe aliharibu uchumi.wa Zimbabwe kwa jeuri zisizokuwa na maana yoyote..kauli zake za kutaka kupambana na west zilimponza.
Zimbabwe lilikuwa taifa lenye uchumi imara sana Africa kabla ya wazungu...
Wakuu,
TEC wakisimama kukemea dhulma watu wanapanick ila sheikh hapa kusimama hadharani kufanya siasa its okay. Basi sawa
------------------------------------
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam...
1. Wanachofanya
Hujipenyeza kwenye mikusanyiko ya watu wanaokusudia amani.
Huanza kuhimiza vurugu, uharibifu wa mali, au vitendo vya wizi.
Hubadilisha taswira ya maandamano kutoka amani kwenda...
Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9 pia kwa mauwaji ya halaiki waliyo yatekeleza halina uhalali wa kuingia barabarani kulinda raia.
Sio mamlaka ya jeshi la polisi kuzuia...
Ndugu watanzania kuna maneno mengi yanasemwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini, wanasiasa etc kuwa tusiandamane tarehe 9 December. Kutokuandamana hiyo kesho kutwa tafsiri yake ni kama...
Ndugu zangu Watanzania, hebu tumuombe Mungu atuepushe na balaa lolote. Nimeota ndoto nzito sana, na natamani ibaki ndoto tu isije ikawa kweli.
Katika ndoto yangu kulikuwa na maandamano makubwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo walivamiwa usiku wa kuamkia leo na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi. Walisema ya kuwa...
Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram
Bwana Jaji Mkuu, George Masaju.
Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu...
Waulize watalaka na watalikiwa watakuambia. Kwenda kwenye ndoa ni rahisi kuliko kurudi kwenye ndoa baada ya kuondoka kwenye ndoa.
Kijana wangu alipewa suspension shuleni nikaambiwa nikamchukue...
Mwenyekiti wa zamani wa TAMWA na Mhariri Mkuu wa Clouds media Joyce Shebe amebainisha namna Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari kwa ujumla wake vilivyopata wakati mgumu kufanya kazi Oktoba 29...