Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Diamond Platnumz, nyota wa Bongo Fleva, amesema anaogopa kuzungumzia masuala yanayohusu Serikali wakati wa mahojiano katika kituo chake cha redio, Wasafi FM. Akijibu swali kuhusu jitihada za...
16 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu, Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili...
7 Reactions
42 Replies
518 Views
Baada ya uchaguzi feki 2025 kumalizika na serikali haramu kuingia madarakani Tanzania imechukua mkopo wa mabilioni ya dola! Hizi fedha zilikuwa ni kwa ajili ya nini wengi hamjui na kulikuwa na...
15 Reactions
25 Replies
520 Views
Wakuu, Naona ndugu zetu washaanza kutoa milio huko 😂 Tuliwaambia waachane na siasa wasimame na wananchi wakakaza shingo. Sasa hivi wameshatumika wanatoa milio. Malipo ni hapa hapa duniani...
8 Reactions
30 Replies
641 Views
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu...
9 Reactions
31 Replies
823 Views
Sasa kwanini mnaendelea kulalamika sasa? tulizeni vichwa sasa sio kelele nyingi ============= Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amesema chama hicho hakijutii wala hakitajutia...
2 Reactions
8 Replies
134 Views
Profesa Lipumba jana Machi 29, 2026 akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya CUF, jijini Dar es Salaam, alisema kuwa kwa wastani ilihitajika Dakika nne - tano kwa mtu mmoja kumaliza...
1 Reactions
12 Replies
272 Views
Profesa Lipumba akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya CUF, jijini DAR amesema kuwa uchaguzi wa 2025 haukuwa huru wala wa haki na ulighubikwa na mauaji ya watanzania wengi wao wakiwa...
1 Reactions
3 Replies
107 Views
Profesa Lipumba amesema kuwa chama cha wananchi CUF japokuwa hakikutarajia kushinda ngazi ya urais lakini kiliamini kingeweza kupata majimbo ya ubunge walau viti 15, lakini ilishindikana kutokana...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa...
6 Reactions
79 Replies
1K Views
Wanabodi Nimeona majina ya wagombea Uspika wa Bunge la JMT Thread 'Vigogo Sita wa CCM kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania' GE2025 - Vigogo Sita wa CCM kuwania...
7 Reactions
31 Replies
985 Views
Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki...
14 Reactions
36 Replies
608 Views
Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa...
8 Reactions
20 Replies
470 Views
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa. Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu. WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia...
10 Reactions
54 Replies
606 Views
Mkoani Arusha katika ukumbi wa Centre House, Kanisani Road, Uzunguni kunafanyika mjadala wa wazi ukiangazia suala la Amani na yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa Octoba 29, 29. Viongozi wa Dini...
1 Reactions
15 Replies
206 Views
Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, kijana mmoja amehoji...
1 Reactions
6 Replies
250 Views
Hamjambo wote! 1. Kumekuwa na vuguvugu mitandaoni la kuwapiga Pin Wasanii kwa sababu mbalimbali. 2. Nitaeleza sababu halisi bila kuficha kama ifuatavyo; a) Wasanii kutokemea maovu yanayohusishwa...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
  • Featured
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia...
4 Reactions
14 Replies
275 Views
Ukweli ni kwamba amri ya kuua waandamanaji wasiokuwa na silaha ilitoka kwa Amiri Jeshi Mkuu Ndugu Samia Suluhu. Hili hawezi kulikwepa !!!.
17 Reactions
51 Replies
1K Views
Back
Top Bottom