Msaada kuhusu severance

lushalila

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
283
107
Naomba wajuzi mnisaidie kuhusu hii haki ya mfanyakazi inayoitwa severance anapewa mtu mwenye sifa gani?

Na hili ni takwa la kisheria au ni hisani ya mwajiri?

Kama hijapewa unafanuaje?

Ahsanteni
 
Severance pay is defined in the ELRA as an amount equal to seven days basic wage for each completed year of continuous service with that employer up to a maximum of ten years.

An employer is required to pay severance on termination of employment if the employee has completed 12 months of continuous service with an employer and the employer terminates the employment

Severance is not required to be paid:

* if the termination is fair on grounds of misconduct, or

* to an employee who is terminated on grounds of capacity, compatibility or operational requirements who unreasonably refuses to accept alternative employment with that employer or any other employer.
 
Natumae mleta mada utakua umepata muongozo...

Cc: mahondaw
 
Nimamaliza mkataba wangu wa miaka mitano, nastahili kupata hiyo severance?
 
kinua mgongo kimsingi hakitalipwa kwa mfanyakazi mwenye fixed term contract alie acha kazi kutokana kufikia umri wa kustaff au alifukuzwa kazi kwa missconduct utovu wa nidhamu
 
Umri wangu ni below 40, nimemaliza mkataba tu na sijapewa mwingine sijalipwa severance ninastahili kisheria? Kama nastahili na sijapewa nifanyeje, au sistahili kisheria?
 
kwa mujibu wa sheria haustahili ijapo kunahukumu imetoka septemba ya mahakama kuu imeamuru mtu wa mkataba wa muda maalumu kulipwa kinua mgongo
 
Nimamaliza mkataba wangu wa miaka mitano, nastahili kupata hiyo severance?

Mkuu inaelekea mayai hayapandi kama mimi hivyo jaribu kupata msaada wa Afisa kazi/Labor officer aliyekaribu nawe akuongoze lakini kwa kifupi unapashwa kulipwa siku saba kwa kila Mwaka X 5 (miaka) = siku 35
 
Niko dsm wapi naweza paya legal officer ? Ninahitaji msaadawake
 
Back
Top Bottom