Msaada wosia wa marehemu kwa mama wa kambo

superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
2,728
Points
2,000

superbug

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2018
2,728 2,000
Naomba kufahamu Kama marehemu ambae ni mume ameacha wosia unaomtambua mke wake ambae ni mama yetu wa kambo Kama mmiliki wa Mali je mama huyo wa kambo anaweza kuuza Mali alizoachiwa na marehemu wakati Kuna watoto wa marehemu wadogo na wanaosoma ?
 

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,932
Points
2,000

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,932 2,000
Kama karithishwa kama yeye, anaweza kuuza. Ila kama alirithishwa kwa niaba ya watoto na yeye basi hawezi kuuza.

Inashauriwa sana unapotaka kuandika wosia, upate guidance ya wana sheria.
 

Forum statistics

Threads 1,344,042
Members 515,307
Posts 32,805,740
Top