Sheria ya United republic of Tanzanian

AJ 1977

New Member
Feb 21, 2018
3
0
Habari ma great thinkers,,naswali emoji (😁) maarufu kama hiyo, kuna watu wajua kutumia bila kuandika sms ,,ikaleta maana, kukutuna,,kukutongeza mke,,mtoto au chochote cha upande wa kushawishi, kuvuka maadili, maana inchi zingine watu washatumikia kifungo,,cha 6 miezi,,sasa kwetu ikoje, tufahamishani,,mtandao uwanja uliokuwa nuunganisha watu na kuharibu zaidi, ndio maana hata kitoto cha miaka 6 kinapasswod
 
Subiri wamtumie mkeo ndio utajua kama hilo alafu nitume jemba utasemaje 😪😑😑💋
 
Back
Top Bottom