Hivi hiki 'Kipengele' cha Katiba ya Tanzania bado kipo vilevile au kilifanyiwa 'Marekebisho' ya Kisheria?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,886
2,000
Niliwahi Kusoma mahala huko nyuma nikiwa bado mdogo kabisa kuwa kumbe nchini Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu kama Kiongozi wa juu ama akiwa Mgonjwa au ameaga dunia au ameonekana uwezo wake wa Akili umeanza kutoendana ‘ Kiushirikiano ‘ na Watanzania wengine wote kama Milioni 55 hivi basi Makamu wake ataongoza nchi kwa Kipindi kilichobakia.

Mimi siyo mfuatiliaji sana wa Masuala ya Kisiasa na Kwanza hata siyajui na siyapendi pia ila nashangaa kwanini leo nimeamka na kujikuta nawaza hili. Najua hapa JamiiForums ndiyo kuna ‘Geniuses ‘ wengi na nikitaka kujua Jambo huwa sikosi Majibu yake. Je, hiki Kipengele cha Katiba bado kipo au kiliondolewa?

Je, waliokitunga hawawezi labda wakaongeza Kitu kingine kwamba kama ikitokea hivyo basi Bunge liamue kwa Kupiga Kura kwa Kuangalia katika ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu nani ni Mkali au Makini ili aweze Kukabidhiwa nchi katika Kipindi hicho cha Mpito pasipo hata Kuathiri Utendaji wa Kiserikali na wa katika ngazi zake mbalimbali?

Karibuni wana JamiiForums leo mnifundishe Siasa Mimi An Eagle. Nitawashukuruni mno.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,886
2,000
Kiweke kwanza hicho kipengele tukione.
Sasa nikiweke wakati hata sikikumbuki kipo katika Ukurasa gani Ndugu? Na ndiyo maana nimewaomba ' Geniuses ' kama nyie hapa JamiiForums muweze Kunisaidia kwa Kunielimisha zaidi juu ya hili kwani Mimi An Eagle na Siasa na Masuala mazima ya Kisiasa ni mbalimbali.
 
Mina cute

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,145

unatapatapa hueleweki thread zako
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,255
2,000
Sasa nikiweke wakati hata sikikumbuki kipo katika Ukurasa gani Ndugu? Na ndiyo maana nimewaomba ' Geniuses ' kama nyie hapa JamiiForums muweze Kunisaidia kwa Kunielimisha zaidi juu ya hili kwani Mimi An Eagle na Siasa na Masuala mazima ya Kisiasa ni mbalimbali.
Mtafute Genius wa hili jamvi anaitwa GENTAMYCINE atakueleza kila kitu.

Mapopoma kama mimi na wewe hayo mambo ni makubwa mno, yanaweza kutuchanganya na tusijitambue kabisa kwani uwezo wetu ni mdogo sana wa kupambanua mambo
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,552
2,000
Niliwahi Kusoma mahala huko nyuma nikiwa bado mdogo kabisa kuwa kumbe nchini Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu kama Kiongozi wa juu ama akiwa Mgonjwa au ameaga dunia au ameonekana uwezo wake wa Akili umeanza kutoendana ‘ Kiushirikiano ‘ na Watanzania wengine wote kama Milioni 55 hivi basi Makamu wake ataongoza nchi kwa Kipindi kilichobakia.

Mimi siyo mfuatiliaji sana wa Masuala ya Kisiasa na Kwanza hata siyajui na siyapendi pia ila nashangaa kwanini leo nimeamka na kujikuta nawaza hili. Najua hapa JamiiForums ndiyo kuna ‘Geniuses ‘ wengi na nikitaka kujua Jambo huwa sikosi Majibu yake. Je, hiki Kipengele cha Katiba bado kipo au kiliondolewa?

Je, waliokitunga hawawezi labda wakaongeza Kitu kingine kwamba kama ikitokea hivyo basi Bunge liamue kwa Kupiga Kura kwa Kuangalia katika ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu nani ni Mkali au Makini ili aweze Kukabidhiwa nchi katika Kipindi hicho cha Mpito pasipo hata Kuathiri Utendaji wa Kiserikali na wa katika ngazi zake mbalimbali?

Karibuni wana JamiiForums leo mnifundishe Siasa Mimi An Eagle. Nitawashukuruni mno.
Ktika Ibara ya 37 ibara ndogo ya 1, 2 ambazo zimefafanuliwa ktk ibara ndogo ya 3 na ya tano. Bado ziko vile vile.

Lakini kwa Uvunjaji wa Sheria na katiba kama ilivyo hulka ya Marais wa Afrika hawawezi kutekeleza matakwa ya Katiba bora aongoze nchi akiwa ICU kwa Remote.

Refer. Rais wa Bukina Faso Ali Bongo.na wengine wengi tu.
 
Attachments

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,886
2,000
unatapatapa hueleweki thread zako
Tatizo lako nini labda na kwanini unateseka na Mimi? Na kama unajua kuwa natapatapa na sieleweki na ' threads ' zangu kwani hujaona ' threads ' za Wengine wenye Akili na ambao huwa unawaelewa na hawatapitapi kama Mimi? Kitu cha Kipekee tu ninachokijua ni kwamba kama huna Akili Kubwa na za Kukutosha zilizojaa ' Upumbavu ' mwingi kamwe hutoweza Kumuelewa An Eagle na utakuwa unapata naye taabu sana hapa Jamvini. Nimemaliza.

Cc: ELI-91, Tate Mkuu, Oumuamua, Kambaku
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,886
2,000
Umetoka kusoma kwa kigogo huko twitter unajifanya umewaza
Kumbe na Kigogo nae amehoji huko Twita juu ya hiki ' Kipengele ' cha Katiba ya Tanzania? Basi ni Jambo jema na inaonekana unatamani mno kama siyo sana tu huyo Kigogo awe Mumeo ila unashindwa tu Kumwambia. Kwahiyo kila Mtu akija na Taarifa hapa yenye ' Angle ' ya Kipekee kuhusiana na Jambo fulani basi anakuwa amelitoa kwa Kigogo huko Twita? Yaani kuna Watu ni ' Wapumbavu ' hapa duniani sijui kwanini hamkuwepo katika lile Tukio la pale Msamvu la Mchomoa Betri ili mtupunguzie idadi ya ' Fools ' hapa Tanzania.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,886
2,000
Mtafute Genius wa hili jamvi anaitwa GENTAMYCINE atakueleza kila kitu.

Mapopoma kama mimi na wewe hayo mambo ni makubwa mno, yanaweza kutuchanganya na tusijitambue kabisa kwani uwezo wetu ni mdogo sana wa kupambanua mambo
Hivi huyu Jamaa gentamycine ni nani Ndugu? Kwanini haipiti hata Siku ni lazima tu ID yake ama itatajwa au hata Kuhusishwa na zingine? Mnavyozidi Kumtajataja mmenifanya nami nianze Kumfuatilia na nimegundua ana Vitu vingi ambavyo hata Mimi vimenishawishi nianze Kumuiga. Tena ngoja nami ' nimfolo ' kabisa ili kila atakachokuwa anakiandika au kukichangia hapa Mimi An Eagle niwe nakipata.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,886
2,000
Kwani kafa tayari?
Mada iliyopo Mezani ni Kuhusu Kipengele hicho cha Katiba nilichokigusia hapo hayo Masuala ya Kufa unayajua Wewe na kama umeshaanza Kujitabiria Kufa basi naomba niwe wa Kwanza kukutakia R.I.P mapema hivi. Hivi utapendelea Kuzikwa Mjini au Mbwinde Kijijini Kwenu Ndugu?
 
Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,120
2,000
Taarifa zinazosambaa kwa ushabiki mkubwa zinatuaibisha sisi wenyewe. Siamini kama watanzania wengi tayari wamepoteza ubinadamu na utu wao. Kuna mambo inabidi tuwe tunasimama kama Taifa. Kwa hali inavyoendelea wapo watu ambao wako tayari kuona Taifa likiangamia ilimradi tu kumkomoa mtu fulani.
 
Kwani kuna Habari gani mpya Ndugu hapa nchini? Hebu tuhabarishane basi kwani huenda Mimi An Eagle na Wenzangu ambao siyo Wafuatiliaji wa mambo hatulijui kama Wewe Mwenzetu ambaye kwa huu Uandishi wako tu hapa unaonyesha ni Mtu unayejua mambo mengi halafu pia ni Mzalendo hasa.
 
Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
528
1,000
Taarifa zinazosambaa kwa ushabiki mkubwa zinatuaibisha sisi wenyewe. Siamini kama watanzania wengi tayari wamepoteza ubinadamu na utu wao. Kuna mambo inabidi tuwe tunasimama kama Taifa. Kwa hali inavyoendelea wapo watu ambao wako tayari kuona Taifa likiangamia ilimradi tu kumkomoa mtu fulani.
Nikisoma Twitter na humu JF naishia kupata ganzi na kuona umuhimu ya kuliombea Taifa la Tanzania badala ya Taifa la Israel. Chuki baina yetu inaweza kufika mwezini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom