Hivi kuandika habari ya uongo na kupotosha umma wa Watanzania sio kosa!

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Hivi hapa Tanzania kuna cyber crimes unit? Na je mtu kupotosha umma na kuandika uongo kwenye mitandao ni kosa la jinai? The cyber crimes Act section 16 (2015)
 
Jenga hoja yako ukiambatanisha na ushahidi ili uonekane uko sahihi. Siyo watanzania wote watakao elewa lengo la hii mada yako. Kama kuna mtu unamtuhumu, toa taarifa kwenye vyombo husika ili hiyo sheria ifuate mkondo wake.
 
Kuna uzi niliona Zitto akiomba radhi humu, na sijui alikuwa anamaanisha nini wallahi.
Nami kwasababu nilikuwa nimelewa, niliona nipite tu kimyakimya baada ya kuhisi kwamba anazidi tu kuongeza taharuki...teh
 
Jenga hoja yako ukiambatanisha na ushahidi ili uonekane uko sahihi. Siyo watanzania wote watakao elewa lengo la hii mada yako. Kama kuna mtu unamtuhumu, toa taarifa kwenye vyombo husika ili hiyo sheria ifuate mkondo wake.
Naogopa kuwekewa polonium
 
Kosa ni lazima liwe na mtenda, mtendwa, nia ovu, madhara kwa mtendwa n.k.
 
Back
Top Bottom