Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Katika kosa la bughudha ya kijinsia (Sexual harassment) Sheria inaeleza kwamba, mtu yeyote ambaye kwa dhamira atamshambulia, au atatumia nguvu kinyume cha sheria akambughudhi mtu mwingine...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF naomba mchango wa maoni. Mimi nikijana Nina miaka 28 kuna changamoto ninapitia na jirani yangu ninayefanyanae biashara inayo fanana katika eneo moja. Tatizo kubwa ni kwamba mimi nikipata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
FAHAMU KUHUSU KUSIKILIZWA KESI UPANDE MMOJA (EXPARTE HEARING), HUKUMU YA UPANDE MMOJA (EXPARTE JUDGEMENT), KESI ZA MADAI NA KESI ZA JINAI. INALETWA KWENU NAMI KELVIN EXZAUDI NYAGAWA, MWANASHERIA...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Swali hili nimejiuliza baada ya kuona mawakili wanavyowaheshimu mahakimu. Tena Hakimu anaitwa mheshimiwa. Wako mahakimu ambao humaliza Diploma zao huko chuoni Tanga na kuingia kazini. Mawakili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari, Naomba kujua adhabu kwa mdhamini ambaye amemchukulia mtu dhamana baada ya kufungwa kifungo cha nje. 1,endapo mtuhumiwa atakimbia? 2,endapo mtuhumiwa hatokuwa anakwenda kufanya usafi kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
JIHADHARI NA UPATU, UKIDHURUMIWA HUTOPATA HAKI YAKO. Siku hizi limeibuka wimbi kubwa la watu wanaojifanya kuanzisha na kuendesha mpango wa uwekezaji wenye faida kubwa huku wakitumia ushawishi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wanasheria. Napenda kujua iwapo sheria inaruhusu wasimamizi zaidi ya mmoja wa mirathi yaani kama watatu hivi. Maana kuna familia ina watoto wa mama watatu tofauti na wako...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Naomba kuuliza notice kisheria kwa mpangaji ni siku ngapi?
0 Reactions
12 Replies
20K Views
Wakuu amani, Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Wanasheria kuweni na huruma, you should not be driven by money! Mshauri mteja na ikibidi kataa kuichukua kesi kuwa hii completely huwezi kushinda. Someni muone walivyo shyster lawyers hawa...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa. Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Jinsi ya kuipinga hukumu na tuzo Iliyofikiwa kwa Maridhiano Mahakamani Ikiwa Mahakama imeandika hukumu na kutoa tuzo (decree) kutokana na makubaliano yenu wenyewe, lakini baadae wewe ukataka...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni wana sheria na wadau mliopitia hizi changamoto mnisaidie! Habari zenu wana Jf, nina changamoto na mzazi mwenzangu ambaye nia yangu ilikua ni kumuoa lakini kwa mabadiliko yake kuwa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Hello Great thinkers! Nilikuwa nafatilia kurekebisha jina lililokosewa kwenye kitambulisho changu cha NIDA nikagundua kuwa inachukuwa muda sawa na kujaza UPYA form ya NIDA registration UPYA ...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanabody nakuja kwenu kuomba msaada wa kisheria ni jinsi gani naweza kuishtaki mamlaka ya maji kwa kunibambikizia bili uku ikishinikiza nilipe pasipo majadala uki wakitishia kunikatia maji. Bili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu , Kuna siku niliomba ushauri kuhusu muvunjika kwa uchumba na jinsi ya kurudishiwa mahali na baadhi ya zawadi nilizowahi kuzitoa , Nashukuruni kwa ushauri wenu kwa kila mmoja...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
HAKI YA USAWA WA KIKATIBA. Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema binadamu wote ni sawa na kiila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Kila...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
JINSI YA KUKAZIA HUKUMU: Unaposhinda kesi ya madai, hautakiwi kuishia hapo tu na kutunza hukumu yako ndani. Kama unataka kufaidika na matunda ya hiyo hukumu inabidi uanze mchakato mwingine...
3 Reactions
2 Replies
9K Views
Back
Top Bottom