Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Sheria kwa ajili ya kuweka masharti kuhusu misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi kwa lengo la kuweka kiwango cha chini cha matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzisha Tume ya...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Wanabodi, habari. Ndugu yangu ni mtumishi Wa Umma. Alikuwa na kesi ya jinai ya kumtukana mtu. Kesi imeenda mahakamani na mahakama imempiga faini. AMELIPA. Mwajiri wake amepelekewa taarifa kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba kuuliza: 1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi? 2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili? ASANTENI SANA.
1 Reactions
5 Replies
577 Views
Habar wanajukwaa, naomba kufahamishwa ikiwa marehemu ameacha watoto aliozaa na mama tofauti na ikatokea mmoja wa hao watoto aliachwa na baba akiwa bado anasoma. Je, Kwenye utaratibu Wa mirathi...
0 Reactions
2 Replies
442 Views
Vyuo vya afya vimepanga ratiba ya mithani hadi siku ya siku kuu ya kiserikali. Vyuo hivi vina watumishi wa umma pia ambao kwa namna moja ama nyingine wanayo majukumu katika siku hii maalum ya...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Mwenye tatizo la sheria za kazi , mfano kufukuzwa kazi kimakosa, kukosa mkataba kisheria na matatizo yote ya kazi,bila kujali dini, kabila na jinsia nipigie simu namba 0782766657 au text whatsapp...
1 Reactions
0 Replies
626 Views
Ndugu members wa jukwaa la sheria! Kama thread head inavyojieleza hapo juu! Nahitaji mwanasheria ambaye yupo songwe au mbeya au Dare es salaam,ambaye anaweza kunisaidia kufatilia madai ya fidia ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu alipata kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni x, mkataba ukaisha, lakini hakuwahi kupewa namba ya uanachama ya mfuko wa jamii pamoja na kuwa akikatwa mchango kila mwezi...
0 Reactions
3 Replies
585 Views
Habari za majukumu mawakili, kuna mkwaruzano umetokea kati ya mwenye Nyumba na mpangaji Sasa msaada wa ushauri kwenu mawakili. Ni hivi jamaa ameingia mkataba na baba mwenye Nyumba huo mkataba...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012 Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie Waraka huo unazungumzia: Utaratibu wa kuomba Kibali cha...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Habari, Natumaini ile Good morning glory inatekelezwa vyema, Bila kupoteza muda twende jamvini. Nina ndugu yangu alipohitimu elimu ya juu akaona bora atafute mahala pa kujishikiza ili aweze...
1 Reactions
13 Replies
722 Views
Ipi ni saini yake ya kweli ???
14 Reactions
224 Replies
38K Views
Naomba kujua time limitation ya kufile execution proceedings ni ipi? My search could not give me any clue! Assisit please
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Hello, leo nakuletea enforcement mechanisms au mfumo wa utekelezaji wa haki za binadamu duniani na vyombo vinavyohusika (monitoring bodies). Nitaanza na enforcement mechanisms chini ya Umoja wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba kuuliza!hivi sheria ipoje kwa mtu kuchukuliwa kwa kuhisiwa kuwa ni mwizi na kufungiwa ndani na mtu mmoja anayemhisi kamuibia na kumpiga na vitu vyenye icha kali ikiwa ni pamoja na visu...
0 Reactions
6 Replies
665 Views
Naombeni msaada wa hili swali discuss a crime and morality what is their distinction
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Mimi ni fundi. Niluenda kwa tajiri na kumfanyia hesabu ya gharama zinazohitajika akanipatia kiasi chote Cha fedha kwa ajili ya kazi yake ila sikuenda kufanya kazi kwa wakati na nikamuarifu yakuwa...
0 Reactions
3 Replies
622 Views
Mchango wowote wa maendeleo,mf kujenga maboma,kufyatulisha tofali na kazi nyinyingine za kiserikali iwe ktk kijiji,mtaa,kata au wilaya je ni halali kuchukuwa mchango wa mwananchi bila kumpa risiti...
1 Reactions
0 Replies
442 Views
Back
Top Bottom