Msaada wa kisheria: Nataka kuacha kazi serikalini

B

Bugasarai

Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
74
Points
150
B

Bugasarai

Member
Joined Oct 8, 2017
74 150
Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye ni serikali? , pia nina mkopo NMB umebaki mwaka mmoja na nusu kumalizika je nifanyeje kuhusu hili maana mdhamini wangu ni DED . Nawasilisha
 
E

Edzone

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Messages
717
Points
500
E

Edzone

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2017
717 500
Andika barua ya kuomba kuacha mwezi kablana mshahara wa mwezi mmoja
 
Mayor Slum

Mayor Slum

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
369
Points
500
Mayor Slum

Mayor Slum

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
369 500
Umejipanga lakini sio unaacha kazi ujiajiri huku bado hata mradi wako hujaanza kutoa matundà utamui bure tu huku unaweza hata kufirisikaa angalia mabo yakikaa vizuri ndio uache kazi uje ujiajiri sasa uwe unaomba omba likizo unaangalia kwanza mradi wako unaendaje

Kuna watu walifukizwa vyeti feki wameshindwa hata kujiajiri Mkuh
 
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,586
Points
2,000
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,586 2,000
Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye ni serikali? , pia nina mkopo NMB umebaki mwaka mmoja na nusu kumalizika je nifanyeje kuhusu hili maana mdhamini wangu ni DED . Nawasilisha
Ukishaacha kazi huo mkopo wa watu umejipanga kuulipaje?? Kumbuka kuwa DED hawajibiki kulipa hilo deni.
 
M

Moro¹One¹

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2016
Messages
463
Points
1,000
M

Moro¹One¹

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2016
463 1,000
Usiache Mkuu, nakushauri tu. Wakati sio huu. Nakuonea wivu, pia nakuonea huruma. Ushauri tu, fuata moyo wako.
 
S

softG

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Messages
1,284
Points
2,000
S

softG

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2016
1,284 2,000
Idara ya Afya unafanya kama nani? Mortuary Director?
 

Forum statistics

Threads 1,336,567
Members 512,648
Posts 32,543,498
Top