Notice kwa mpangaji

Hutegemea kabila la mwenye nyumba, kam nii msukuma ni wiki moja, kama ni mchaga ni siku moja, ila kama ni mkurya ni dakika tano(dk 5) vinginevyo ni mapanga shaaa
 
Rent Restriction Act (repealed) ilikua na guidance nzuri sana ku govern mahusiano kati ya mpangaji na mwenye nyumba

kabla sijaenda mbali hoja yako nayo inaonekana ina hoja

Ukweli ni kwamba unachouliza hapo ni sahihi kutokana na common practise, wengi huingia/huingizwa kwenye nyumba kwa kulipa kodi tu, aidha hata wale wanaoingia kwa mikataba mara nyingi hufanyika pale anapoingia tu bila kuzingatia wakati anapohuisha hivyo kulipa kodi tu bila kuwa na mkataba wa kuhuisha

hoja yako inaelea in a sense kwamba unawaza kutoa notisi tu hivyo kutilia shaka kama mlikua na mkataba, hoja ina hoja pia kwa sababu umeuliza notisi kwa mpangaji bila kujua kwamba hata yeye mpangaji anaweza kutoa notisi kwa mpangishaji

Msingi wa utoaji notisi kwa pande zote mbili hutegema na makubaliano yaliyomo kwenye mkataba na si vinginevyo, kisheria notisi inatakiwa iwe miezi 3 as a general rule, kimantiki, kama mtoa notisi ni mwenye nyumba kumpa muda mpangaji kutafuta mahali pengine na kama ni mpangaji kumoa muda mwenye nyumba kutafuta mpangaji mwingine,

Ironically wengii hukurupuka tu kutoa notisi ya mwezi au hata siku kadhaa bila kuzingatia rationale za hapo juu, inagwa kama ilivyo kwenye ajira, iwapo mpagishaji au mpangaji atatia short notice basi itamlazimu kufanya compensation accordingly
 
kwa nyongeza, hakuna sheria inayozitaka pande mbili kuingia mkataba wa mwaka mmoja au miezi sita. Kwa hiyo kama mwenye nyumba atakupa NOTICE kwa sababu tu hujalipa kodi ya miezi sita au mwaka, notice hiyo itakuwa batili. sheria inataka maktaba wa weza kuiwa wa mwaka mmoja lakini malipo ya kodi yakawa kila mwezi, hivyo wewe ukiingi kichwakichwa utalizwa
 
asante sana
 
Kwa jengo la biashara ni miezi mitatu, jengo la makazi ni miezi miwili. Ikumbuke kuwa notisi haisitishi malipo ya kodi. Wengine hudhani mtu anapopewa notisi anatakiwa aishi bure kwenye jengo kwa kipindi hicho cha notisi.

asante sana tupe rejea ya sheria itaswihi
 
Rent Restriction Act (repealed) ilikua na guidance nzuri sana ku govern mahusiano kati ya mpangaji na mwenye nyumba

kabla sijaenda mbali hoja yako nayo inaonekana ina hoja

Ukweli ni kwamba unachouliza hapo ni sahihi kutokana na common practise, wengi huingia/huingizwa kwenye nyumba kwa kulipa kodi tu, aidha hata wale wanaoingia kwa mikataba mara nyingi hufanyika pale anapoingia tu bila kuzingatia wakati anapohuisha hivyo kulipa kodi tu bila kuwa na mkataba wa kuhuisha

hoja yako inaelea in a sense kwamba unawaza kutoa notisi tu hivyo kutilia shaka kama mlikua na mkataba, hoja ina hoja pia kwa sababu umeuliza notisi kwa mpangaji bila kujua kwamba hata yeye mpangaji anaweza kutoa notisi kwa mpangishaji

Msingi wa utoaji notisi kwa pande zote mbili hutegema na makubaliano yaliyomo kwenye mkataba na si vinginevyo, kisheria notisi inatakiwa iwe miezi 3 as a general rule, kimantiki, kama mtoa notisi ni mwenye nyumba kumpa muda mpangaji kutafuta mahali pengine na kama ni mpangaji kumoa muda mwenye nyumba kutafuta mpangaji mwingine,

Ironically wengii hukurupuka tu kutoa notisi ya mwezi au hata siku kadhaa bila kuzingatia rationale za hapo juu, inagwa kama ilivyo kwenye ajira, iwapo mpagishaji au mpangaji atatia short notice basi itamlazimu kufanya compensation accordingly

Hii sheria ilifutwa mkuu!
 
Kwa jengo la biashara ni miezi mitatu, jengo la makazi ni miezi miwili. Ikumbuke kuwa notisi haisitishi malipo ya kodi. Wengine hudhani mtu anapopewa notisi anatakiwa aishi bure kwenye jengo kwa kipindi hicho cha notisi.
Asante mkuu naomba nisaidie hiyo sheria no. Ngapi ya mwaka gani..? Maana leo hii mpangaji wangu ameniletea baraua tatu kutoka kwa afsa mtendaji wa mtaa ikidai mpagaji huyo anatakiwa akae miezi mitatu ndani ya nyumba bila malipo mi sijui maswala ya sheria ebu niambie je mtendaji huyu yupo yawa kwa maamuzi haya na cha kusikitisha ni kwa ameamua bila kunihusisha kwan sijapata ujumbe wwte ulioniitaji kufika kwa mtendaji huyo ila nimeletewa tu maamuzi haya naomba msaada wako sana mkuu...!!
 
Kimsingi notice haidhuru malipo ya mwezi kikawaida unaweza kutoa notice ya miezi mitatu kwa mpangaji kukukabidhi nyumba na anatakiwa alipe hiyo miezi yote anayo subiri mda wa notice yake kuisha hakuna sheria inayo mtaka mpangaji akae bila kulipa kwa kipindi chote na masubirio ya notes yake. Mfate huyo mtendaji akupe kigungu alicho tumia kutoa amri hiyo.
 
Back
Top Bottom