Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari zenu wadau. Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanabody nakuja kwenu kuomba msaada wa kisheria ni jinsi gani naweza kuishtaki mamlaka ya maji kwa kunibambikizia bili uku ikishinikiza nilipe pasipo majadala uki wakitishia kunikatia maji. Bili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu , Kuna siku niliomba ushauri kuhusu muvunjika kwa uchumba na jinsi ya kurudishiwa mahali na baadhi ya zawadi nilizowahi kuzitoa , Nashukuruni kwa ushauri wenu kwa kila mmoja...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
HAKI YA USAWA WA KIKATIBA. Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema binadamu wote ni sawa na kiila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Kila...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
JINSI YA KUKAZIA HUKUMU: Unaposhinda kesi ya madai, hautakiwi kuishia hapo tu na kutunza hukumu yako ndani. Kama unataka kufaidika na matunda ya hiyo hukumu inabidi uanze mchakato mwingine...
3 Reactions
2 Replies
9K Views
Wakuu, Kuna Uzi fulani humu ndani umeanzishwa na wafanyakazi wa Mgahawa fulani Dar wakielezea uonevu waliofanyiwa na wamiliki wao ambao ni waarabu ikiwepo vipigo. Sasa baada ya wao kupigwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba na tajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria kama tunaweza kufanikiwa au laa, kama mtaniruhusu plz naomba niendelelee. ===...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
FAHAMU NAMNA YA KUFUNGUA MIRATHI. Na Mwanasheria Wetu. 1.MIRATHI NI NINI. Mirathi ni mali ya marehemu aliyoiacha kwa ajili ya kurithisha warithi wake halali. Hakuna mirathi...
5 Reactions
16 Replies
19K Views
Wakubwa, Msaada kidogo, Ninataka kununua tu eneo ambalo mtu ananiuzia, ninataka kujua nitahakikisha vipi kama hapa sipigwi na pia kujua kwamba hili eneo ana miliki kihalali. Eneo lenyewe lipo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu wengi wanasema deni halimfungi mtu, lakini sio kweli. Leo nitafafanua Sheria ya Mwenendo wa Madai (the Civil Procedure Code [CAP. 33] kwa kifupi tunaiita “CPC”) kuhusu mazingira ambapo...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu zangu habari za jioni? Naomba ushauri wa kisheria mdogo wangu anayenifata amefariki alikiwa ni mtumishi wa serikali wilaya x, jana mida ya jion siku 4, baada ya mazishi nimepigiwa simu. Na...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi sheria inampa haki gani mteja wa Makampuni ya simu anapokosa huduma za kampuni husika kwa makosa yao kama tigo pesa kutokuwa hewani kwa masaa kadhaa.
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Ni jukumu la kila mwajiri kuboresha mazingira ya kazi kwa wafanyakazi wake. Mazingira ya kazi ni lazima yawe mazuri na salama kwaajili ya kufanikisha utendaji mzuri wa kazi. Hii itasaidia kuondoa...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Ni takwa la kisheria kwamba kila mwajiri katika sekta binafsi au sekta za umma kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu pale ambapo mtu huyo mwenye ulemavu ameomba nafasi hiyo na ana vigezo...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii...
1 Reactions
0 Replies
917 Views
Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko. Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Wazazi wanatumia rasilimali vitu, pesa, watu na pesa kumfikisha mtoto wao hadi kujitegemea. Rasilimali ambazo kama angeziwekeza zingemsaidia hata uzeeni kwake. Wazazi wanaporwa haki na mali zao...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Salaam,Mnamo mwaka 2003 kulitokea Bomoa bomoa katika maeneo ya Jeshi la wananchi kambi ya Changanyikeni 691 kj. Raia walituhumiwa kuvamia maeneo ya jeshi na kujenga bila kibali Baada ya nyumba...
0 Reactions
7 Replies
756 Views
Back
Top Bottom