Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu ku-adopt mtoto yatima awe wangu kabisa nimlee, kumsomesha na kumfanyia yote anayostahili kufanyiwa mtoto! Sasa naona nina uwezo na muda wa kuitimiza ndoto...
Habari zenu wanasheria, naomba msaada namna ya kusajili ministry, ya maombi na ushauri, tafadhari naomba msaada wataalam wa sheria nafahamu kwamba mnayajua haya sana.
Ni hatua gani zinatakiwa na...
Introduction
In the global race for Foreign Direct Investment (FDI), the United Republic of Tanzania has deliberately positioned itself as an attractive and predictable investment destination...
Wanabisha nini, kwamba Lissu hakusema kama ataasi? Kwamba Lissu hakusema atavunja Katiba na sheria kwa kuzuia uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi nzima ili nchi ibaki bila ya Rais?
Kile...
Habari
Iko hivi kuna jamaa yangu amekutwa na kosa la jinai katika moja ya mahakama zetu hapa nchini na amehukumiwa kulipa fine tu kwa kosa alilotenda.
Lakini jamaa huyu ni katibu wa tasisi...
Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua...
Habari zenu manguli wa sheria?
Naomba msaada mama yangu mzazi miaka 10 iliyopita alianzisha kesi kati yake na Taasisi moja kubwa sana ya kidini nchini! Taasisi hiyo iliuziwa kiwanja kikubwa sana...
Kuna mwanamke nimeishi nae kwa muda wa miezi 6, mambo yakaharibika baada ya kumkuta na mwanaume chumbani kwake, kukatokea ugomvi wa hapa na pale.
Sasa huyu mwanamke ananishitaki mahakamani kwa...
Habari za wakati huu wanajamvi! .
Naomba msaada wa kisheria au kimawazo . Mm hapa nilikuwa nimepangisha chumba lakn kwa bahati mbaya tulivunja mkataba na mwenye nyumba kabla ya kumaliza kodi...
Kuna fundi amekuwa akifanya kazi za kupaua nyumba zangu kwa miaka mingi, alikuwa mwaminifu tu sana.
Lakini mwezi Disemba 2025 alipiga makenji nyumba yangu, akapima na kunidanganya kwamba...
- Amtetea Profesa Mahalu
Ashangaa mashitaka yake
Amtaja kuwa mwadilifu
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akisindikizwa kuelekea chumba cha mahakama kutoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya...
Aina za Sheria na Kazi Zake
1. Sheria ya Jinai (Criminal Law)
Inahusika na makosa ya uhalifu.
Kuwashtaki na kuwatetea wahalifu.
Uhalifu wa mtandaoni na makosa ya kifedha.
Uchunguzi wa ufisadi na...
Kifungu cha 308 (Additional Witnesses for Prosecution Act) cha CPA (Criminal Procedure Act), kama kinavyosomeka hapo chini kinahusu Shahidi Mpya (Additional Witness) na sio Ushahidi Mpya...
Je, Mwajiri anaweza kuomba Mapitio (review) ya uamuzi wa Mh. Rais kwa Mh. Rais huyo huyo kwa kutaka kuongeza vielelezo ambavyo hakuviwasilisha kabla ya uamuzi, ambapo iliamriwa na Mh. Rais kwamba...
Kwanini nauliza hivyo:
Ushahidi wao unafanana, kama kuna kitu wanataka kustablish nadhani kwa mashahidi hao inatosha maana wanafanana " pleadings" zao. Why call many of the same kind?
Pili...
Kuna kitu hapa sijaelewa. Yaani Polisi wanawakamata hawa watu wanaoitwa P1-P10 sijui kwa kosa ambalo halina sheria, kisha wanawapeleka polisi, wanawatishia na kesi ya kuzuia uchaguzi, hawapelekwi...
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.