Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Naomba kwa wakili aliyepo Dodoma au atakuwa Dodoma kuanzia jumamosi Hadi jumatatu hii ya tarehe 10 mei 2026 tuwasiliane,. Nataka aniandalie plaint ya shauri langu na kusajili mahakama kuu, main...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Wakuu habari za mchana na poleni kwa majukumu. Nimeajiriwa kama mwalimu katika shule moja inayomilikiwa na kanisa. Mnamo tarehe 07/04/2017 mkuu wa shule alitutaka tufike kazini japo ilikuwa ni...
3 Reactions
52 Replies
13K Views
Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin...
1 Reactions
3 Replies
637 Views
Habari wana Jukwaa Mnamo tarehe 09 April 2017 niliondokewa na mzee wangu ambaya alikua mteja wa Bank moja wapo hapa Tanzania. Wakati wa mauti mzee alikua ameacha deni bichi ya Bank lipatalo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibuni thinkers! Kuepuka na kiwanja chenye migogoro, kuepuka utapeli, kuepuka kuingilia mipaka na mengine mengi , tupeane mbinu wakuu
0 Reactions
3 Replies
148 Views
Wakuu Wasalam, Nimenunua Pikipiki kwa mtu hapa Morogoro Mjini. Nahitaji kubadilisha Umiliki ili nyaraka zisome majina yangu, Naomba wenye uelewa wa process ninazotakiwa nipitie na gharama za...
3 Reactions
15 Replies
271 Views
TAMU YA KESI ILIYO AMULIWA NA ( SUPREME COURT OF INDIA) ANNA SAURABY DUTT VS. LIEUTENANT COLONEL CIVIL APPEALNO.25076 0F 2024 MAJAJI WALIELEZA YAFUATAYO KATIKA MAHAKAMA HIYO... Mwanamke...
1 Reactions
0 Replies
158 Views
Tanzanian law does not automatically confer citizenship on a foreign wife. Rather, it grants her a privileged, near-guaranteed pathway unavailable to a foreign husband. Section 11 of the Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Nilivamiwa na watu wawili wakanikaba nikatumia kitu chenye ncha kali kumjerui mmoja, niliwahi polisi kutoa taarifa ya kuvamiwa, siku ya pili naambiwa kesi imegeuka upande wangu kwa sababu...
1 Reactions
8 Replies
394 Views
Habari ya leo wanajf! Naombeni ushauri wa namna ya kukabiliana na changamoto hii ya aridhi kwa busara na kwa amani. Mimi na mwenzangu tulinunua viwanja sehemu moja iliyopimwa, kwa hiyo ni viwanja...
2 Reactions
6 Replies
237 Views
Nilipokuwa mtoto, nilipata bahati ya kusomeshwa na NGO moja. Kutokana na taratibu zao, wazazi wangu walisaini fomu ya ridhaa (consent form) kuwaruhusu kutumia picha na stori yangu kwenye kampeni...
5 Reactions
18 Replies
395 Views
Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021)...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wote Kuna dogo katoka kuchukua hukumu akapoteza maeneo ya Mbezi. Hukumu hii ilikuwa kumwondoa msimamizi wao wa mirathi. Baada ya kupiga nkamwomba anipe mda nijee jukwaani kwan kuna...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Wasalam wanaJF Bila shaka mu wazima wa afya kama mimi hapa. Leo bwana nimekuja na jambo linalotesa moyo wangu kwa muda mrefu sana. Familia yetu imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu. Mzee...
1 Reactions
21 Replies
494 Views
Kuna mkanganyiko kisheria katika mapambano dhidi ya ndoa za utotoni na ndoa kwa wanafunzi; 1. Sheria ya Ndoa ya 1971 inaruhusu binti wa miaka 14 na 15 kuolewa kwa ruhusa ya wazazi na mahakama...
1 Reactions
3 Replies
752 Views
Habari wana jukwaa, Hii iwafikie wanaojua sheria za Tanroads Naomba kuuliza wajuzi, hivi ikitokea kuna mradi wa ujenzi barabara njia imekuwa diverted na wewe ni mgeni eneo hilo kwa bahati mbaya...
5 Reactions
45 Replies
634 Views
Samahani wakuu naomba kueleweshwa nilifunguliwa kesi Kuhusu mirathi, kesi ya madai kuanzia mahakama ya mwanzo nikashinda, mdai akakata rufaa mahakama ya wilaya Napo akashindwa, akakata rufaa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam! Naomba kupata ufafanuzi nini nifanye kwenye hili; Nilichukua mkopo wa Tzs. 5m hati ya dhamana. Nimefanikiwa kurejesha Tzs. 4.3m hadi sasa. Deni lililobaki ni Tzs. 700,000 ambayo deni...
6 Reactions
9 Replies
548 Views
Salaam wana jamvi, Nahitaji msaada wa kisheria ama taratibu gani nifuate ili kuweza kupata haki ya kulea watoto wangu! Story kwa ufupi iko hivi: Mimi na mwanamke (34) nimeolewa ndoa ya...
15 Reactions
227 Replies
8K Views
Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa *kujenga nyumba *kuwa na biashara ndogo ya uwakala *Kupata watoto watatu Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita...
3 Reactions
31 Replies
685 Views
Back
Top Bottom