Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

THE LAWS AND CORE LEGAL TEXT GOVERNING INTERNATIONAL CRIMINAL COURT (ICC) Alphonce Lusako (Adv) Following the fact that, The International Criminal Court (ICC) has been asked to investigate...
0 Reactions
1 Replies
507 Views
It is very sickening to see people in Jamii Forums who claim to be great thinkers debate on issue they have little or no knowledge with. It is very sickening to see people affecting Jamii Forums...
0 Reactions
21 Replies
15K Views
1)Mwanamke(Sio Mwanafunzi) wa Miaka 19 akibainika amepata Mimba kutoka kwa Mvulana Mwanafunzi wa Miaka 17. Jee Sheria itatafsiri kwamba Huyu Mwanafunzi mvulana amebakwa na Huyu Mwanamke wa Miaka...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanasheria na wanajukwaa kwa ujumla. Naomba kuelekezwa utaratibu wa kumtoa SIGNATORY wa nyaraka za benki ambaye si mmiliki wa kampuni. Amepata dharura ya kuumwa,na yuko nje ya nchi kwa...
1 Reactions
2 Replies
466 Views
HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996. Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuwa na uelewa sahihi wa kisheria kuhusiana na swala la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Kwenye sheria za Tanzania, hakuna kosa la kutembea (kufanya...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa...
1 Reactions
4 Replies
925 Views
Habarini, Kwa sasa mahakama za mwanzo haziruhusiwi kupokea ushahidi wa kimtandao kama vile nalala za email,whatsapp,fax,nk hadi kuanzia mahakam za wilaya. Sidhani kama hii ni haki kwa sasa hasa...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Disclaimer: Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama...
1 Reactions
3 Replies
782 Views
Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi. Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/= Sasa Kuna mtu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Dear all, My reading and interpretation of Section 40 of the Employment and Labour Relations Act. Cap. 366 R.E. 2019 tells me that it was the intention of the Legislature to make it mandatory for...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Je utadhibitishaje CMA au labour court kuwa ulikuwa unafanya kazi overtime Ni evidence gani ya kuprove overtime
1 Reactions
7 Replies
935 Views
Wakuu heshima kwenu. Habari za jioni, poleni na majukumu (kwa wale wenye majukukumu). Naomba kufahamishwa KISHERIA kama kichwa cha uzi kimavyojieleza. Mi hivi, baada ya mgogoro wa ghafla sana...
21 Reactions
225 Replies
9K Views
Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022. Mwandishi: Zakaria Maseke (Advocate...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanajf kwa ujumla. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuanza kutoa maelezo mafupi. Mashamba ya familia yangu yapo kijiji jirani na mashamba hayo tuliyapata wakati huo tukiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna jamaa amenitukana matako ya bibi yangu Pia akasema navuta bangi na kuvuta unga mbele ya watu Je naweza kufungua kesi? Ushahidi wa simu ninao pia
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom