Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 263
Habari zenu wanasheria, naomba msaada namna ya kusajili ministry, ya maombi na ushauri, tafadhari naomba msaada wataalam wa sheria nafahamu kwamba mnayajua haya sana.
Ni hatua gani zinatakiwa na ninasajilia wizarani au kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya? Na ni vitu gani vinatakiwa?
Karibuni ndugu zangu kunisaidia.
Ni hatua gani zinatakiwa na ninasajilia wizarani au kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya? Na ni vitu gani vinatakiwa?
Karibuni ndugu zangu kunisaidia.