Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari wakuu. Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana. Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo...
2 Reactions
3 Replies
547 Views
Natafuta mwanasheria ambaye anaweza kuwa available Jumatatu asubuhi kumsaidia rafiki yangu apate interim order ya jaji ili kumaintain status quo ya umiliki wa ardhi (kuzuia transfer). Application...
2 Reactions
0 Replies
486 Views
Niliwahi kuleta kesi hizi hapa awali, ndipo akatokea jamaa mmoja nikaweza kuwapa namba zake na kuwaunganisha na mwanasheria wa humu. Jamaa huyo aliwasaidia sana hadi wakafanikiwa kushinda kesi...
0 Reactions
8 Replies
363 Views
Deed Poll Ni nini? Ni nyaraka ya kisheria inayotumika kubadilisha jina la mtu. Nyaraka hii hua inasainiwa na mtu ambaye anabadilisha jina pekee tofauti na nyaraka nyingine za kisheria ambazo...
16 Reactions
44 Replies
37K Views
Nina kesi ya madai. Nahitaji mdaiwa wangu apelekewe hiyo document. kama kuna mtu anaweza nifanyia hiyo kazi anicheki. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari, Naomba msaada wa land form namba 29, namba 30, namba 35 na deed of gift katika soft copy. Ntashukuru sana kwa msaada
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Habari za muda jukwaa la sheriff,nimemaliza chuo tangu 2020 lakini mpaka leo sina AVN ili niweze kujiunga na masomo ya chuo kikuuu. Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka...
1 Reactions
5 Replies
244 Views
Naombeni msaada kwa anayejua tofauti ya hizi fomu mbili. Je zina tumika zote kwa pamoja? na ni wakati gani wa uthamini?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa...
1 Reactions
2 Replies
203 Views
Wana JF naomba Ushauri na msaada wenu katika hili. Nilikuwa masomoni katika chuo kimojawapo hapa Tanzania, kwa masomo ya shahada ya elimu (Sayansi) kwa mchepuo wa Fizikiana na Chemia, Bachelor of...
1 Reactions
23 Replies
19K Views
WAKILI MFANYA BIASHARA - lengo lake kuu ni kumsaidia mteja wake kushinda kesi, anatumia udhaifu wa sheria au mianya (loop holes) ya sheria, ujanja ujanja na mbinu mbalimbali za kisheria kumsaidia...
2 Reactions
1 Replies
295 Views
Ndugu zangu wanaojiandaa kuingia Law School of Tanzania (LST), baada ya kuona post ya mdau Koskey akiomba msaada kuhusu jinsi ya “kutoboa” Law School of Tanzania, nimeona ni vyema kuchangia kutoka...
16 Reactions
17 Replies
3K Views
UCHAWI ni matumizi ya nguvu zisizo za kawaida zinazotumika kuwadhuru wengine kwa namna isiyo ya kawaida. Uchawi unajumuisha mazingaombwe, kuloga, matumizi ya vifaa vya uchawi, matendo ya nguvu za...
0 Reactions
4 Replies
753 Views
Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
1 Reactions
8 Replies
300 Views
Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado. Sasa...
4 Reactions
20 Replies
483 Views
Hello wana Jamiiforums, Nina Shida na muhuri wa Mwanasheria . Moja Kati ya Cheti changu cha ujuzi hakina muhuri na nipo mashambani ndani ndani Ni ngumu kupata Mahakama huku. Naomba mwenge muhuri...
2 Reactions
8 Replies
385 Views
Habarini ndugu. Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+ Baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika...
25 Reactions
207 Replies
8K Views
Habari wana jamii. Ningeomba kupata muongozo juu ya hili suala. Mnamo miezi kadhaa nyuma nilifanyiwa vurugu na mtu mmoja nyumbani kwangu na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali zangu...
0 Reactions
7 Replies
644 Views
AGNES DORIS LIUNDI vs REPUBLIC (1978) SOMA kesi hii ya AGNES DORIS LIUNDI ya mwaka 1978 alivyo waua watoto wake 3 na kubakiza taji liundi pekee. Shared to you by Mr. George Francis 0713736006...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Niliajiriwa mwaka 2013 kama mwalimu wa sekondari, mnamo 2015 nliacha kazi kwa kufuata taratibu na kwenda kufanya shahada ya pili katika eneo lingine ambapo kimsingi nisingeweza kupata ruhusa kwa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom