Habari ya leo wanajf!
Naombeni ushauri wa namna ya kukabiliana na changamoto hii ya aridhi kwa busara na kwa amani. Mimi na mwenzangu tulinunua viwanja sehemu moja iliyopimwa, kwa hiyo ni viwanja halali na vina hati.
Changamoto iliyojitokeza ni kwamba alitokea bwana mmoja akawahi kujenga nyumba yake. Tatizo ameisogeza mpakani kiasi kwamba akijenga fensi inakuwa kwenye kiwanja cha jirani yangu. Yaani kwa yeye hawezi kuweka fensi na mwenzangu naye fensi yake ni ukuta wa nyumba ya huyo jamaa!!
Nimejaribu kupeleka watu wa aridhi nao wamebaki midomo wazi hata hawelewi kumetokea nini! Kwa hiyo kwangu hakuko sawa na kwa huyo jirani naye hakuko sawa. Tumejaribu kusababu naye huyo muhusika naye tunashindwa kuelewa kama yuko sawa!!
Msaada wa ushauri please!!