Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uandishi wa Sheria Bungeni, Ndugu Agnes Ndumbati akielezea mchakato mzima wa Muswada wa Sheria kabla haujawa Sheria kamili.
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Katika kulinda mamlaka na hadhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kuelewa na kuheshimu sheria zinazolenga kuzuia matendo ya usaliti na uhaini dhidi ya serikali. Sheria ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii kesi ilipofikia hata kijana anayesoma Diploma ya sheria IJA (Institute of Judicial Administration, Lushoto anaweza kuandika hukumu ya KWELI. Reasoned judgement! Naishia hapa
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Ivi makamu wa raisi akijiuzulu raisi anatakiwa afanye nn?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Sasa naomba ushauri miaka mitano iliyopita, nilikuwa nafanya kazi znz serikqlini Kwa bahati mume wangu akahamia dar kikazi. Inabidi nimfate ..na nikaomba likizo bila malipo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni ngumu sana mshtaki kuamini mshtakiwa hana hatia !
0 Reactions
2 Replies
43 Views
Wakuu habari zenu, Nakumbuka Tanzania kuna mtu aliwahi kushtakiwa kwa kusema Yesu sio Mungu miaka ya 2005 hivi. Ni wapi naweza kupata nakala ya Hukumu hio au kama kuna mtu anayo anisadie nahitaji...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Uchambuzi wa kisheria kuhusu utaratibu wa mfungwa kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii: Mwandishi: Zakaria Maseke (Mwanasheria) (0612275246/0754575246) Makala hii...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Wanasheria na Mawakili Wasomi Mtusaidie sisi mbumbumbu wa Sheria. 1.Mtu Akihitajika mahakamani kutoa ushahidi je, analazimika kwenda? Na akigoma kwenda kuna kosa.? Au akitoa sababu labda ni...
0 Reactions
4 Replies
157 Views
Wakili anatoka kwenye chumba cha mahakama ambako kesi fulani bado inaendelea kusikilizwa. Baada ya kesi kuahirishwa wakili huyo msomi anatoka nje kidogo tu ya jengo la mahakama na kukusanya vyombo...
1 Reactions
2 Replies
63 Views
Issue: Whether ex parte judgment can be appealed against without first attempting to set it aside?. By zakariamaseke@gmail.com Advocate Candidate - LST. Umeshtakiwa alafu hujatokea Mahakamani...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jinsi ya kusajili kampuni, nyaraka zinazotakiwa, gharama za usajili, vigezo na mambo ya kuzingatia kabla na baada ya kusajili kampuni nchini Tanzania (Procedures for the registration of...
11 Reactions
10 Replies
21K Views
kifungu cha 326 (1) cha Kanuni ya Adhabu [Sura ya 16 R.E 2023]. Chini ya kifungu hiki upande wa Mashtaka au tuseme mlalamikaji anatakiwa kuthibitisha yafuatayo; i. Kwamba mtuhumiwa alikuwa...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
1. Kwamba kulikuwa na Ndoa halali 2. Kwamba, kuna mgogoro kati yenu wanandoa na jitihada za kusuluhisha zimefanywa lakini imeshindikana. 3. Orodha ya watoto wa ndoa na umri wao. 4. Orodha ya mali...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Anonymous
Hivi, Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua...
1 Reactions
7 Replies
329 Views
Anonymous (ee77)
Habari, Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata. Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Nataka kujua kisheria mwajiriwa ana haki gani pindi anapohamiswa kampuni au taasisi tofauti na iliyomwajiri mwanzo.
0 Reactions
9 Replies
235 Views
Jibu ambalo utalisikia mara nyingi si kwamba wanachukia sheria, bali wanahisi wanaweza kubambikiwa makosa au kutozwa faini hata pale wanapoamini hawajakosea. Badala ya askari kuonekana kama...
1 Reactions
0 Replies
207 Views
Habari za leo wakuu? Kwa wale wataalamu wa taratibu na sheria za ajira za Tanzania naomba ushauri juu ya muajiri huyu na ni hatua zipi kama muajiriwa napaswa kuchukua kabla ya kusaini mkataba wa...
0 Reactions
2 Replies
194 Views
Elimu ya sheria kuhusu usajili wa Makampuni nchini Tanzania. (Procedures for the registration of companies, costs for registration and things to take into account before and after registration of...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom