Kesi ya kumtishia mke wa Mbowe yaunguruma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya kumtishia mke wa Mbowe yaunguruma

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rutashubanyuma, Apr 16, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Kesi ya kumtishia mke wa Mbowe yaunguruma


  Na Angelina Mganga

  KESI ya kutishia kuua kwa maneno iliyofunguliwa na mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe katika Mahakama ya
  Mwanzo Kariakoo, Dar es Salaam, imeanza kuunguruma.

  Hakimu Jonas Mahende jana alianza kusikiliza ushahidi wa mlalamikaji dhidi ya mlinzi wa Klabu ya Bilicanas, Bw. Herman John (36) anayedaiwa kutishia kumuua kwa kumtumia ujumbe mfupi wa maneno.

  Ilidaiwa mahakamani hapo na Karani, Bi. Hatanawe Kitogo kuwa Februari 3 mwaka huu, katika club hiyo iliyopo wilayani Ilala, Dar es Salaam, Bw. John alitishia kumuua Lilian.

  Bi. Kitogo alidai kuwa, mshtakiwa alituma ujumbe mfupi wa maneno kupitia namba 0762 055605 uliosema kuwa anampa siku saba Lilian amuachishe kazi mtu anayeitwa Power, na kima cha chini cha mshahara wake kiwe 320,000/- la sivyo atakuwa hatarini.

  Bi Mbowe aliileza mahakama kuwa mlamikaji alianza kazi ya ulinzi nyumbani kwake Mikocheni mwaka 2009 tangu alipoajiriwa na baadaye kulinda kwenye klabu hiyo.

  Bi. Mbowe alieleza kuwa baada ya kupokea ujumbe huo, aliamua kushauriana na mumewe ili amhoji mshtakiwa, lakini mumewe alimwambia akaripoti polisi.

  Shahidi namba moja FF 2255 DC Mboka (35) alithibitisha kuwa wakati wa upelezi, mshtakuwa alikutwa na laini mbili za simu na askari alipata uhakika kupitia Vodacom kujua simu iliyotumika kutuma ujumbe huo ni ya mshitakiwa.

  Shahidi wa pili Julius Paul (51) ambaye ni Meneja wa Klabu Bilicanas, alimhamisha mshitakiwa kwenda kulinda Mikocheni kwa mama huyo na ndipo alitoa maneno ya vitisho ya kuongezwa mshahara na hadhi kwa wafanyakazi.

  Kesi imeahirishwa mpaka Mei 3, mwaka huu ili mshtakiwa aanze kujitetea kutokana na vielelezo vilivyoletwa na mlalamikaji.
  [​IMG]
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  15 Maoni:

  [​IMG]
  Anonymous said... huu ni upuuzi kesi za kishoga kuweka hapa alafu nyi majira ni gazeti la chadema?mbona mnatuzingua sana
  April 14, 2011 9:58 PM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... wewe hapo juu ndie shoga kabisa tena unaliwa tigo
  April 14, 2011 10:20 PM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... umemjibu vizuri sana maana inaonekana jamaaa hana akili kabisa itabidi aende loliondo akatibiwe
  April 14, 2011 10:52 PM [​IMG] [​IMG]
  Veronica Lyimo said... Nasikitika sana kwa matusi yaliyokuwa yameandikwa. Kwani ni lazima uchangie matusi yako au unatakiwa utoe maoni yako katika uadilifu kama mtu timamu, ukizingatia watu wa Mungu tunataka tusome na kutoa maoni yetu. Msirudie tena.
  MAONI YANGU.
  Inatakiwa iyo kesi ifanyike kama ilivyopangwa na wengine wajifunze kutokutoa lugha chafu, matusi au kumtishia mtu maisha yake katika simu.
  April 14, 2011 11:27 PM [​IMG] [​IMG]
  minja said... wote ******* tu badala ya kuandika comments za maana mnaandika usenge tu.
  April 15, 2011 12:28 AM [​IMG] [​IMG]
  mabuba malima said... ndugu wasomaji jaribuni kutumia lugha nyepesi kwani mambo kama haya yanayoandikwa yanasomwa na watu wengi kama humekosa kitu cha kukoment ni bora zaidi ukakaa kimya kuliko kutoa matusi ambayo hayana maadili katika nchi yetu magazeti haya yapo kwa ajili kupasha habari watu wote kwa hiyo awawezi kuchagua habari ipi iandikwe ndani ya gazeti.Jaribuni kuwa watu wenye maadili mema matusi sio chanzo cha kumfanya mtu ufahamike na chakushangaza hao waliotoa matusi makubwa kama hayo ni wasomi wazuri ambao wangesaidia nchi yetu katika kuondokana na ujinga lakini wao wamekomalia matusi yani wapendwa inauzunisha sana tena sana
  April 15, 2011 1:37 AM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... mnatombwa wote mliotoa maoni hapo juu
  April 15, 2011 1:54 AM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... Administrator moderation ya maoni ni muhimu hapa ili kuunusuru uhuru wa kutoa maoni. Wananchi kidogo wamepotoka hapa hasa mchangiaji wa 1:54 hapo juu. Duh, ndugu yetu, hebu kuwa na soni kidogo basi. Gazeti linasomwa na wengi hili.
  April 15, 2011 2:20 AM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... INATISHA NA KUSIKITISHA, WATANZANIA TUBADILIKE, HEKIMA NA MAADILI NI MUHIMU.
  April 15, 2011 2:20 AM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... ipotezee haikuhusu hiyo, mbona hujatoa maoni wewe nyie ndo wale wale, jikate jumla yaani kwa sababu hatuwezi kulea usenge kila kona mtokeo yake ndo mafisadi tuliyo nayo kila sekta katika nchi yetu, dawa ni kuwatafuta mmoja mmoja na tnazaa nao. haina noma man pamoja sana mimi ukei kei sipendi hata masela street wananifahamu kabisa. mnaleta ubishi wa kipumbavu kila habari mnajifanya kuichunguza na kujiita wasomi mliojipachika magammba hewa kichwani hamna kitu. unabisha? wewe umesomea nini kama si ujuha tunaendekeza hapa tanzania? bora tungeajiri mzungu awe raisi alafu tumlipe kwa mwezi,
  April 15, 2011 2:33 AM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... Jamani hata kama kitu hakikufurahishi ni bora ukasema kinachokuuma lakini matusi hayapendezi!! Naungana na mchangiaji wa 2.20 kuwa maoni haya inafaa yachunjwe kwanza ndio yawe published. Tunaomba wahusika wajaribu kuliona hilo!
  April 15, 2011 2:37 AM [​IMG] [​IMG]
  john said... msiwe na wasiwasi,wavuta bangi ni wengi hapa Tanzania,walishachanganyikiwa na kukata tamaa na maisha.Kwa hiyo lolote analowaza analisema na kuliandika,ni kuchanganyikiwa huko!!! na ndio maana tuna wodi za vichaa!!!!!!! duh,maisha yanachanganya watu si mchezo!! ama kweli kazi ipo kama ndio hivi
  April 15, 2011 7:03 AM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... Tanzania tumeshakuwa na watu wengi waliochanganyikiwa, hili ni tatizo kwa taifa. wanaoandika matusi hawajielewi, mtatakiwa kuwaombea.
  Hapa kazi ipo,sikutegemea kama nchi yetu ina watu wa aina hii.
  April 15, 2011 7:10 AM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... WAHARIRI, ndio mnaosababisha matatizo ya matusi yasiyo na msingi; kwa sababu mnashindwa kuhariri habari za kuandika.

  kwa mfano habari ya mke wa mbowe kutishiwa ni habari kweli! lakini yawezekana ingewekwa kwenye ukurasa wa habari za mahakamani, bila kuacha kweka mbele (front page) habari za mikoani za maana ambazo pengine ni nzuri na zimeachwa ambazo wananchi wengine hawazisikii kutokana na kukosa magazeti lakini kwenye radio wangesikia japo kichwa cha habari.
  utawala (Administrator moderation, ufike mahali ufuatilie kazi zenu kwa karibu, ili zisiandikwe kiupendeleo na kwa kuwaangali dar es salaam tu.
  siku hizi mmekazania kuandika habari za kwa njia ya makala huku watu wakilipa 50,000 mwandishi; badala ya wateja kufanya matangazo; matokeo yake habari zinakuwa chache na wanunuzi wanawakimbia.acheni mtindo huo wa kulihujumu gazeti.kama hamlipwi mishahara mgome siyo kulihujumu gazeti.
  April 15, 2011 7:11 AM [​IMG] [​IMG]
  Anonymous said... Daa! Wabongo sasa wengi wamechanganyikiwa na hii ni matunda ya serkali ya CCM kusababisha maisha magumu ndio maana Dr.Slaa alisema ukimuona kijana wa leo kavaa mlegezo usidhani ajaenda shule utakuta huyo ni form four au form six na huku chuoni wanachou wengi inaKaribia nusu ya wanachuo wavulana wanavuta bangi tupige magoti na tusali
  April 15, 2011 7:33 AM
   
Loading...