Nataka kuacha kazi, nimepata nyingine yenye maslahi mazuri zaidi.....Msaada!!!

matunge

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
442
426
Wakuu naomba msaada niweze fahamu mambo muhimu wakati wa kuandika barua ya kuacha kazi.Nimepata kazi nje ya nchi yenye maslahi mazuri zaidi. Sheria inasemaje?
 
Msaada.

1.Toa notice ya masaa 24 na umlipe mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja. ''kama una haraka ya kuondoka''

2. Toa notice ya siku 30 kabla ya kuondoka na ufanye kazi kwa hizo siku kwa misingi ya kukabizi ofisi.
 
asante: ni muhimu kuandika sababu ya kuacha kazi?
 
Msaada.

1.Toa notice ya masaa 24 na umlipe mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja. ''kama una haraka ya kuondoka''

2. Toa notice ya siku 30 kabla ya kuondoka na ufanye kazi kwa hizo siku kwa misingi ya kukabizi ofisi.

hivi nikitoa notice ya siku 30 naruhusiwa kuchukua likizo kama nilikuwa sijaenda likizo? Au naweza kuchukua likizo na nikatoa notice ya siku 30 kuacha kazi?
 
Back
Top Bottom