Mume atishia kumdai mke wake mamilioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume atishia kumdai mke wake mamilioni

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rutashubanyuma, Apr 17, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Mume atishia kumdai mke wake mamilioni

  Imeandikwa na Na Christopher Gamaina, Tarime; Tarehe: 16th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 123; Jumla ya maoni: 0
  MKAZI wa Kata ya Matongo, Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Stephen Anunda, ametishia kumdai mke wake, Eunice Mroni fidia ya Sh milioni 37.7 baada ya mwanamke huyo kufungua shauri la kumdai talaka katika Baraza la Kisheria.

  Mchanganuo wa fedha hizo kwenye barua yake ya utetezi ('Habarileo' lina nakala yake), unaonesha kuwa alitumia Sh milioni 12.6 kumgharimia mwanamke huyo masomo ya Stashahada ya Uhasibu katika Chuo cha Uhasibu (CBE) Tawi la Mwanza na Sh milioni 6.5 kumgharimia matibabu alipokuwa chuoni hapo.

  Anunda aliongeza kuwa atamdai pia Sh milioni 16 kama fidia ya udanganyifu wa kumpotezea muda katika suala la ndoa na Sh milioni 2.6 ambazo ni thamani ya ng’ombe wanane aliolipa mahari kwa wazazi wa mwanamke huyo.

  Akizungumza mbele ya Baraza la Kisheria Kata ya Matongo wilayani Tarime Ijumaa, mwanamke huyo alitoa sababu za kudai talaka kuwa ni baada ya kumfumania mume wake huyo mara tatu akiwa katika mazingira ya kimapenzi na mfanyakazi wao wa nyumbani.

  Aidha, katika shauri hilo Na. 24/2011 lililofunguliwa Machi 29, 2011 kwenye Baraza hilo, mwanamke huyo alitaja sababu nyingine ya kudai talala hiyo kuwa ni baada ya kukerwa
  na tabia ya mume wake huyo ya kuendekeza vitendo vya kishirikina.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Akizungumza mbele ya Baraza la Kisheria Kata ya Matongo wilayani  Tarime  Ijumaamwanamke huyo alitoa sababu za kudai talaka kuwa ni baada  ya  kumfumania mume wake huyo mara tatu akiwa katika mazingira ya  kimapenzi  na mfanyakazi wao wa nyumbani.  
   
  Aidhakatika shauri hilo Na24/2011 lililofunguliwa Machi 292011   kwenye Baraza hilomwanamke huyo alitaja sababu nyingine ya kudai   talala hiyo kuwa ni baada ya kukerwa 
  na tabia ya mume wake huyo ya kuendekeza vitendo vya kishirikina
  .
  Hizi ni sababu tosheleza kwa Baraza kuamua hii ndoa imekufa na hivyo kuifuta na mama huyo kupewa talaka anayoidai.................
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  PHP:
                                                                                                                                                MKAZI wa Kata ya MatongoWilaya ya Tarime mkoani  MaraStephen Anunda,  ametishia kumdai mke wakeEunice Mroni fidia ya  Sh milioni 37.7 baada  ya mwanamke huyo kufungua shauri la kumdai talaka  katika Baraza la  Kisheria
   
  Mchanganuo wa fedha hizo kwenye barua yake ya utetezi ('Habarileo'  lina  nakala yake), unaonesha kuwa alitumia Sh milioni 12.6 kumgharimia   mwanamke huyo masomo ya Stashahada ya Uhasibu katika Chuo cha Uhasibu   (CBETawi la Mwanza na Sh milioni 6.5 kumgharimia matibabu alipokuwa   chuoni hapo
   
  Anunda aliongeza kuwa atamdai pia Sh milioni 16 kama fidia ya   udanganyifu wa kumpotezea muda katika suala la ndoa na Sh milioni 2.6   ambazo ni thamani ya ng'ombe wanane aliolipa mahari kwa wazazi wa   mwanamke huyo.  
  sheria ya ndoa inakataza fidia za namna hii............bali mahari ni haki yake kama itabainika yeye hana hatia ya kuvunjika ndoa hii............................................
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  PHP:
  65. Husband and wife and the law of tort
  As from the commencement of this Act–
  (ano husband shall be liable for the torts of his wife by reason only of his being her husband;
  (
  ba husband and wife shall have the same liability in tort towards each other as if they were unmarried;
  (
  cneither a husband nor a wife shall be entitled to claim damagesin an action arising out of any negligent act or breach of dutyin respect of the loss or impairment of consortium.
  Kifungu hiki cha sheria ya ndoa kinamweka pabaya mume anayedai mapochopocho kutoka kwa mtaliki wake mtarajiwa...............
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  PHP:
  65. Husband and wife and the law of tort
  As from the commencement of this Act–
  (ano husband shall be liable for the torts of his wife by reason only of his being her husband;
  (
  ba husband and wife shall have the same liability in tort towards each other as if they were unmarried;
  (
  cneither a husband nor a wife shall be entitled to claim damagesin an action arising out of any negligent act or breach of dutyin respect of the loss or impairment of consortium.
  Kifungu hiki cha sheria ya ndoa kinamweka pabaya mume anayedai mapochopocho kutoka kwa mtaliki wake mtarajiwa...............
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  PHP:
  72. Right to damages for adultery
  (1A husband or wife may baring a suit for damages against any person with whom his or her spouse has committed adultery:
  Provided that no such proceeding shall lie–
  (awhere the aggrieved party has consented to or connived at the adultery;
  (
  bwhere damages in respect of the alleged adultery have been claimed in a petition for divorce.
  (
  2A suit brought under this section shall be dismissed if the defendant satisfied the court that he or she did not know and could notby the exercise of reasonable diligencehave known that the person with whom he or she committed the act of adultery was married.
  73. Right to damages for enticement
  (1A husband or wife may bring a suit for damages against any person who has, for any reasonenticed or induced his or her spouse to desert him or her.
  (
  2A suit brought under this section shall be dismissed if the court is satisfied that the conduct of the plaintiff has been such as to justify or excuse his or her spouse leaving the matrimonial home.
  74. Assessment of damages for adultery or enticement
  (1Damages for adultery or enticement shall be in the discretion of the court but shall not include any exemplary or punitive element.
  (
  2In assessing such damagesthe court shall have regard–
  (ato any relevant custom of the community to which the parties belong; and
  (
  bin cases of adulteryto the question whether husband and wife were living together or apart.
  75. Jurisdiction of primary courts A primary court shall have jurisdiction to entertain a suit under this Part where the parties were married in accordance with customary law or in Islamic form or, in the case of a suit under section 69 or section 71, if the court is satisfied that had the parties proceeded to marry they would have married in accordance with customary law or in Islamic form.
  Endapo mume angelisoma vifungu hivi asingelipoteza muda wake kumtishia mtaliki wake mtarajiwa ili asidai talaka ambayo ni haki yake ya kisheria................................
   
Loading...