Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari Waheshimiwa,
Naomba kuuliza kama ni lazima kwa sheria za kazi Tanzania kwa employer kukupa a written employment contract unapoanza kazi. Na kama ni lazima, na employer...
Ni ipi course nzuri na yenye ajira kati ya BED in psychology na BCS.in chemistry and physics na zote zinahusiana na nini na field zake zipo wap msaada jaman kwa mwenye uelewa na haya mambo[/QUOTE]
Shemeji yangu alichukua mkataba wa pikipiki dada yake akamdhamini baada ya muda miezi sita ikatokea ajari ikapelekea kifo cha abiria pikipiki ikakamatwa kituoni shemeji yangu, ambae ndiye aliepewa...
Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi...
Wakuu kuna mwanamke nilizaa nae mwaka 2007, wakati nikiwa na mke wangu, na sikuwai kuishi nae zaidi ya kuwa nilikuwa naenda alikopanga mara moja moja, na mara nyingine akishindwa kodi ya nyumba...
Hakutembelea Makumbusho ya Vita ya Majamaji bali alitembelea makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni.
Hivi ndivyo inavyoitwa duniani, ni uhalifu wa Kikoloni "Colonial Crimes'. Na hivihivi tumwambie...
Habari zenu wakuu.
Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana watu wakilalamika wanawake wao kuchepuka nje ndoa na kupelekea ndoa kuvunjika.
Mimi ni kijana ambae nina mpango wa kuoa huko mbeleni (Sio leo...
Sasa ni miaka 62 tangu MORTGAGOR a- mortgage eneo lake la ardhi kwa mtu (mortgagee) kwa kiasi pesa ambaye ana miaka 44 amekufa . Mortgagor amekufa some 27 years back . Watoto wa Mortgagor leo...
Nimekuwa nikifuatilia hukumu anazotoa judge Matuma. Ni Judge wa haki with higher power of reasoning. Judgment zake zinatokana na use higher mental faculties in dealing with the law, and evidence...
Ndugu wa JF hapa kuna Mvulana ( Sio Mwanafunzi) alikamatwa na Msichana (Mwanafunzi).
Alipokamatwa akaitwa mtendaji wa kata pamoja na baba mzazi wa binti. Kesi ikapelekwa Polisi then mahakamani...
Napenda kujua, Je inakuwaje kama nimeomba mkopo Benki na afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo lakini Benki wakachelewa kunipa mkopo ule. Hadi wakaanza kunikata makato, kisheria imekaa vp km...
Naomba kufamaham kuwa kisheria inakuwa vp km afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo wangu kutoka Benki na Benki hawajaniwekea fedha ktk akaunti.
Je, naweza nikawashtaki na wakapatikana na hatia?
Habari waungwana.
Jamani naomba kujulishwa ninavyojua mimi kuwa Bima (Insurance) ni makubaliano baina ya mwenye mali anaehitaji bima na mtoa huduma.
Kwa kawaida kwa vyombo vya moto bima ya third...
Wanasheria,swala la mtu akishindwa kulipa deni la taasisi fulani na Taasisi hiyo kuandika barua ya mnada kunadisha mali za mhusika na hiyo barua haijaandikwa na mahakama hilo swala limekaaje kisheria
Habari ndugu jamaa na marafiki kwenye hili jukwaa sheria, niende kwenye Maada moja kwa moja. Nilikuwa nimesafiri kurudi nikakuta eneo langu lenye ukubwa Wa eka 5 eka 3 nimepanda miti aina ya paina...
Good morning wapendwa,,,
Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la...
Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:-
1. Mahari ni nini?
2. Mahari ni muhimu katika ndoa?
3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili?
4. Nani anahusika kupokea na...
Habari ipo hivi,
Mimi niliolewa ila nilitengana na mwenzangu, tuna watoto wawil. Mmoja miaka mitatu mwingine ana mwaka mmoja, sasa baba yake amekuwa mwiba kwangu ananitishia sana kuhusu...