Ipi ni course nzuri na yenye ajira kati ya BED in psychology na BCS.in chemistry and physics?

salumukiame4

New Member
Nov 22, 2023
2
2
Ni ipi course nzuri na yenye ajira kati ya BED in psychology na BCS.in chemistry and physics na zote zinahusiana na nini na field zake zipo wap msaada jaman kwa mwenye uelewa na haya mambo[/QUOTE]
 
Ni ipi course nzuri na yenye ajira kati ya BED in psychology na BCS.in chemistry and physics na zote zinahusiana na nini na field zake zipo wap msaada jaman kwa mwenye uelewa na haya mambo
[/QUOTE]Wwe hapo, kichwa chako kinamudu course gani kati ya hizo!!??
 
Kwenye tittle yako futa neno "yenye ajira" siku ukikosa ajira utakuwa disappointed
 
Back
Top Bottom