Je, hawara ana haki kwenye mali ya mwanaume?

Naughty by nature

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
2,128
2,356
Wakuu kuna mwanamke nilizaa nae mwaka 2007, wakati nikiwa na mke wangu, na sikuwai kuishi nae zaidi ya kuwa nilikuwa naenda alikopanga mara moja moja, na mara nyingine akishindwa kodi ya nyumba nilikuwa namlipia, na pia alikuwa na fremu ya biashara, alikua akishindwa kodi namsaidia. Mimi na wife tuna miaka almost 25 ya ndoa, na tuna nyumba nne, kuna nyumba moja ipo maeneo mbezi pia.

Sasa uyo mwanamke wakati najenga ile nyumba ya Mbezi bado nipo kwenye mahusiano nae, sasa kuna wakati kodi ilimshinda na mimi sikuwa vizuri, nilimsaidia akaenda kukaa kwenye nyumba yangu ya Mbezi yeye na mtoto. Baadae nilimpa milioni tatu akaenda kumalizia nyumba yake akahamia kwake, ilishapita miaka sita hatuko pamoja, na mtoto yupo form 2 anakaa nae.

Sasa bwana mwezi uliopita ameenda kushtaki baraza la kata kuwa nyumba niliyojenga Mbezi eti na yeye anahusika, alitoa ushauri kwahiyo na yeye ana fungu lake!

Hivi mwanamke ana akili kweli? Hivi kuna sheria hawara awe na sehemu kwenye mali za wana ndoa?
 
Na uzuri ukiendelea kuwa mbishi, na wife naye atajua kumbe ulimzalisha hawara mtoto, na sasa yuko form two!! Maana hawara amedhamiria kupewa mgao wake, na hataki mchezo.

Patamu sana hapo.
 
Wakuu kuna mwanamke nilizaa nae mwaka 2007, wakati nikiwa na mke wangu, na sikuwai kuishi nae zaidi ya kuwa nilikuwa naenda alikopanga mara moja moja, na mara nyingine akishindwa kodi ya nyumba nilikuwa namlipia, na pia alikuwa na fremu ya biashara, alikua akishindwa kodi namsaidia. Mimi na wife tuna miaka almost 25 ya ndoa, na tuna nyumba nne, kuna nyumba moja ipo maeneo mbezi pia.

Sasa uyo mwanamke wakati najenga ile nyumba ya Mbezi bado nipo kwenye mahusiano nae, sasa kuna wakati kodi ilimshinda na mimi sikuwa vizuri, nilimsaidia akaenda kukaa kwenye nyumba yangu ya Mbezi yeye na mtoto. Baadae nilimpa milioni tatu akaenda kumalizia nyumba yake akahamia kwake, ilishapita miaka sita hatuko pamoja, na mtoto yupo form 2 anakaa nae.

Sasa bwana mwezi uliopita ameenda kushtaki baraza la kata kuwa nyumba niliyojenga Mbezi eti na yeye anahusika, alitoa ushauri kwahiyo na yeye ana fungu lake!

Hivi mwanamke ana akili kweli? Hivi kuna sheria hawara awe na sehemu kwenye mali za wana ndoa?
Akuna kitu km icho labda km kiwanja cha nyumba kimeandikwa jina lake
 
Hati ya nyumba ndio mchawi namba moja hapo...... kama haina jina lake mzania unalalia kwako

Atakusumbua kwakuwa aliishi hapo na atatumia majirani kuhalalisha madai yake kwamba aliishi hapo wakati mnajenga pamoja
 
Back
Top Bottom