Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wanajanvi jana asubuhi nilikuwa nikifuatilia matangazo ya Channel 10, nikamuona bwana mkubwa wa nchi akiwapa pole wakiristu ambao makanisa yao yamechomwa moto na kuporwa, Moja ya vitu alivyosema...
Kesi ya DECI imewagusa Wachache huku Wahusika Kamili kutoka Serikalini wameachwa na Viongozi wa dini wakiwemo maaskofu na Wachungaji waliohamasisha Watu kupitia TV na Radio zao wameachwa na...
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imefuta kesi ya madai iliyofunguliwa na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, dhidi ya mwandishi wa kitabu cha Orodha ya Mafisadi wa Elimu...
Naombeni kujua haki za raia wa Tanzania mwenye kutunukiwa u-diplomasia ktk jamii yake na ktk kimataifa pia. Mf. all wives and husbands of Tanzania judges are automatically ranked diplomats.
Mastaa wa Bongo:
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imempa ushindi msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael Lulu, katika kesi ya kujadili upya umri wake. Akitangaza ushindi...
Kwanza mods naomba wanisamehe kwa kuweka hii mada jukwaa ambalo sio lake kule jukwaa la sheria sijui kesi ni nyingi mahakamani naweza post kitu kisipate hata majibu
Anyway
Nilikuwa naomba...
Habarini, nilipata mtoto miaka 9 iliyopita bila kufunga ndoa na baba wa mtoto. miaka 5 baadae alifunga ndoa na mwanamke mwingine. lakini tangu nipate ujauzito matumizi ya mtoto yalitolewa kwa...
salaam wana jamii
naomba kujuwa kuhusu pesa ya kujiki,u wakati unapo ajiliwa,mimi nimeajiriwa hivi karibuni nataka kujuwa sheria inazungumziaje kuhusu haya malipo.nitalipwa pesa yote ya mwezi kama...
Mme wangu ni mwanasheria Jaji, lakini sipendi kuishi naye tena kwani kwa dogo dogo hashikiki. je, nitumie njia zipi kuvunja ndoa? Nina ushahidi mwingi sana wa msg nilizozikamata, pia zingine...
katika pita pita yangu nimekutana ni issue ya mahakimu wanafunzi (interns) wakiwa wanasikiliza Kessy
na hata kuitolea maamuzi (hukumu) baada ya kuisikiliza. mawali ninayojiuliza bila majibu
Je...
Wiki ijayo tume ya katiba mpya itakuwa mtaani kwetu. Naomba wanajf mnambie ni mambo yapi yaondolewe kwenye katiba iliyopo na mambo yapi yawekwe kwenye katiba mpya. Naomba mchango wenu...
wadau mimi kama mpenda amani,jana niliweka uzi hapa jamvini kuelezea matukio ya uchomaji moto mazizi ya nguruwe ambayo yameanza wiki 3 zilizopita.katika muendelezo wa matukio haya juzi makanisa...
Ni katika imeili yao waliyowatumia wanachama wao. Imeili ina walakini. Imeshazua gumzo mjini. Ni hii:
Dear valued member,
Please pass below information to your networks;
The Council for Legal...
Nigerian villagers sue Shell in landmark pollution case
Enlarge PhotoReuters/Reuters - A view of the shore of the Atlantic ocean at Orobiri village,days after Royal Dutch Shell's Bonga...
Hi JF funs!
I would like to get from those who know the following in respect to the above mentioned subject,
1..je kuna sheria ngapi zinazo govern uendeshaji kesi katika baraza hili hapa TZ? na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.