Ni zipi haki za mtu mwenye tunuku ya kidplomasia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zipi haki za mtu mwenye tunuku ya kidplomasia?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MBILIA, Oct 14, 2012.

 1. M

  MBILIA Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni kujua haki za raia wa Tanzania mwenye kutunukiwa u-diplomasia ktk jamii yake na ktk kimataifa pia. Mf. all wives and husbands of Tanzania judges are automatically ranked diplomats.
   
 2. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Wewe kwani unaishi nchi gani? Kama ni Mtanzania na unaishi Tanzania, forget it. Huna hadhi yoyote ya kidiplomasia, hata kama mume wako alikuwa balozi akiwa na miaka 18, na ukoo wake mzima walikuwa mabalozi na majaji wakuu wakiwa na miaka 18. Kwa kifuoi, hadhi ya kidiplomasia ni nje ya nchi na ni kwa active duty diplomats tu, siyo ex-diplomats, least of all their spouses.
   
 3. M

  MBILIA Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujaeleweka. tiririka vizuri plz
   
Loading...