Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hivi vyeo tajwa vinakuwa kwenye mashtaka yanohusiana na serikali moja kwa moja, napenda kujua ili kesi iwe ya DPP vigezo nini na REPUBLIC nae namna gani? na vipi AG?
Nawasilisha wandugu...
Naombeni msaada wana sheria juu ya matumizi ya service road kama ilivyoelezwa ktk road Acts maana unapotumia service road trafick wanasema umetanua na hivyo na kosa.
Baada ya kubana na kuwaletea mizengwe isiyo na sababu wanasheria waliopo katika Sekta ya Umma kutoapishwa kuwa mawakili, sasa Sera za Ofisi ya Mwanasheria Mkuu zinaonekana kubaldilika kapisa...
Woman caught smuggling cocaine in fake breasts - Colombia news | Colombia Reports
.
A Panamanian woman flying from Colombia was arrested in Spain for smuggling large amounts of cocaine in her...
salaam,
naomba kujuwa kwa aliye na documents ambayo inaonesha mshahara wa mtu kutokana na elimu aliyo kuwa nayo hapa Tanzania.nataka kumwajiri mtu sasa nilikuwa nataka kujuwa nimwanziye wapi...
Mimi kuna kitu hata hakiingii akilini, unakuta eti mtuhumiwa anapelekwa Kisutu mahakamani kusomewa mashtaka, mara unaskia eti kesi yake imeahirishwa kwa kuwa ni ya mauaji eti mahakama ya Kisutu...
ndugu zangu wanasheria unampa talaka kwa wale wenzangu wa dini ya kiislamu anapokea kwa kuweka masharti kuwa niendelee kumsomesha tena kwa maandishi ni sahh hiyo jaman , nipe msaada wako wa kisheria !
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa
KWA UFUPI
Mmoja wa walimu hao ambaye hakutaka kutajwa gazetini akihofia kushughulikiwa na wanafunzi hao alisema amelazimika kuikimbia...
wadau nataka kuanzisha kampuni ya udadali wa kuuza na kununua bahatai mbaya miye siyo mwana sheria nilikuwa naomba msaada wa kimawazo ya kisheria nianzie wapi ili kampuni ya ngu isije kutana na...
TANZANIA lawyers can you help these people. It is a group of 16 wajasiriamali who rent Mama Upendo shops.
Now, the building that house the shops has been fined for a dirty latriene. The fine is...
Imekuwa ni kawaida sasa kuonyeshwa picha za marehemu katika magazeti na vyombo vingine vya habari na hata pale vifo hivyo vinapotokana na ajali. Maiti wanakuwa katika hali ambayo ni ya fadhaa...
Habari!
Naomba wataalamu wa sheria wanisaidie katika hii isue ya magufuli kwenda kenya kumnadi raila odinga je sheria inasemaje kuhusu hili je nchi moja inaruhusiwa kuingilia siasa za nchi...
Wana jamvi kwanza kabisa naomba msaada wenu kuelekezwa zilipo ofisi za consumer association of Tanzania au chama cha walaji tanzania.
Pili ambalo ni muhimu kuna mtu anahitaji ushauri wa kisheria...
WanaJF; Naomba tulijadili hili.
Hivi ni sawa kwa jeshi letu la polisi kutumia silaha za kivita (military) katika shughuli za kiraia? hapa nina maana ya sub machine gun (SMG), silaha ambayo...
Jana wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV waliendelea kurusha tangazo la sharo millionea la Airtel kitu ambacho kinazidisha majonzi kwa ndugu, jamaa na marafiki.sasa je ni wapi...
Nipo maeneo ya manzese darajani karibia kila anayeto maoni ya katiba mpya anapendekeza siku ya ijumaa itambulike kama siku ya mapumziko ya shughuri za serikari ili kuwapa uhuru waislam kuabudu...
Ndugu wanajamvi, awali nawapa pole kwa uchovu unaotokana na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Niko maeneo ya ocean road Dar. karibia na makumbuko ya taifa, usiku siku hizi, hasa weekend days...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.