Hot Nuuz: Mahakama Kuu leo Imempa Ushindi Lulu Michael Kuhusu Umri Wake

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=1]Mastaa wa Bongo: [/h]

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imempa ushindi msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, katika kesi ya kujadili upya umri wake. Akitangaza ushindi huo jaji aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Twalib Fauz, ameupa ushindi upande wa utetezi uliopeleka ombi la kuujadili upya umri wa msanii huyo na kuutupilia mbali umri wa miaka 18 alioandikisha kituo cha polisi baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumuua msanii mwenzake, Steven Kanumba.
2380166734480289721-2674343502415967677
 
Huyu binti anatetewa na jopo la mawakili akiwemo bwana Fungamtama ambaye ni wakili wa Dowans (Rostam Azizi na Lowassa). Kwahiyo binti atashinda tu hii kesi yake kirahiiiiiiiiiiiiiiiisiiiiiiiiiiii saaaaana.
 
Sasa yule mzee mwenye tumbo ambaye alikuwa na uhusiano naye si afunguliwe kesi ya kutembea na mtoto chini ya miaka kumi na nane. Ni mbunge wa chama cha magamba. Haha
 
Haka katoto kaliongeza miaka kuhalalisha ufuska wake huku kakijua nikatoto kasikoruhusiwa ku Do.
 
Lulu Asubirie adhabu ya raia kwan mahakaman hakuna haki icpokua sheria!Hii nchi ya kusadikika kwel duh!
 
[h=1]Mastaa wa Bongo: [/h]

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imempa ushindi msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, katika kesi ya kujadili upya umri wake. Akitangaza ushindi huo jaji aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Twalib Fauz, ameupa ushindi upande wa utetezi uliopeleka ombi la kuujadili upya umri wa msanii huyo na kuutupilia mbali umri wa miaka 18 alioandikisha kituo cha polisi baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumuua msanii mwenzake, Steven Kanumba.
2380166734480289721-2674343502415967677

Ushindi? Upi?

Kesi ilienda mahakama kuu kwa ajili ya nini?
 
Sasa yule mzee mwenye tumbo ambaye alikuwa na uhusiano naye si afunguliwe kesi ya kutembea na mtoto chini ya miaka kumi na nane. Ni mbunge wa chama cha magamba. Haha

umejaa uoga...au hujui kuuandika Komba
 
Sasa yule mzee mwenye tumbo ambaye alikuwa na uhusiano naye si afunguliwe kesi ya kutembea na mtoto chini ya miaka kumi na nane. Ni mbunge wa chama cha magamba. Haha

Kama una ushahidi unaweza kwenda kumfungulia mashtaka hata wewe, au hujui kuhusu polisi jamii? polisi shirikishi? raia mwema?

Usingoje kufanyiwa unachoweza kufanya wewe mwenyewe.
 
Sasa yule mzee mwenye tumbo ambaye alikuwa na uhusiano naye si afunguliwe kesi ya kutembea na mtoto chini ya miaka kumi na nane. Ni mbunge wa chama cha magamba. Haha

Mzee yupi huyo tena? Tufahamishe basi?
 
Kwa Ajili ya Umri wake; Mahakama ya Kisutu iligoma kujadili Umri wake

Okay, mahakama ya kisutu ikikataa hoja za mawakili wake kuhusu umri ushindi unaousema ambao uko kwenye headline utatoka wapi?

Kumbuka kuwa wasomaji wa blog hii ni wengi, ukiweka story ya namna hiyo kumbuka kuwa itasomwa na watu wengi sana. Wanaofuatilia na wasiofuattilia, Angalau ungeweka background kwanini kesi ilienda mahakama kuu.
 
Back
Top Bottom