kwa wale wapenzi wa chapati Kama mie Naona mate yashawatoka. Upishi Wa chapati umekua kitendawili kwa warembo wengi sana ila ukishazijulia utakua wazipika kila siku.
Leo naja waletea pishi hili...
Hawa ni bata wale wafugwao,kama ilivyo kwa kuku bata hawa pia wanauzwa masokoni na wachinjaji hadi wanyonyoaji wapo huko huko sokoni,wananyonyoa na kukukatia katia nyama vizuri,pesa yako tu...
Naomba msaada wa kuelekezwa utengenezaji wa siagi ya karanga (peanut butter) ntashukulu nikipata msaada wenu.
Mahitaji
1)Karanga kg 1/4
2)Asali kijiko 1.5 cha chakula
3)Peanut oil au mafuta...
jamani wana jamvi wa mapishi mim nime jaribu sana kutengeneza peanuts butter lakin kila niki pack kwenye container ina chacha hivi ni kwa nini
naomba msaada wenu jamani
Habari mabibi na mabwana!
Kuanzia dunia inaumbwa hadi leo hii tulipo tumekuwa tukishauriwa au kujishauri kuhusu ulaji wa matunda na mboga za majani.
Nadhani hata mgonjwa hospitali huwa daktari...
Jinsi ya kupika biryani ya kuku, ng'ombe au mbuzi
Mahitaji
1 kilo mchele wa basmati mrefu
1 kilo nyama iwe ya kuku au ng'ombe au mbuzi kata katika umbo dogo la kutosha kula kisha...
JINSI YA KUANDAA NA KUTENGENEZA BISKUTI ZA JAM .
MAHITAJI:-
Unga 2½ glasi
Sukari ¾ glasi
Samli\blue band(ndogo)
Mayai 2
Baking powder 2 kijiko vya chai
Vanilla 1½ kijiko cha chai Maganda ya...
Kumbe kutumia tsh 15,000 kwa ajili ya chakula ni kujidekeza tu!Jioni nikirudi home nahakikisha napika wali wa kutosha nakula jioni.
Asubuhi nakunywa na chai nachukua hot pot naweka cha mchana...
Habari wana Jamvi,
Nahitaji kujua jinsi ya kupika hii mboga, kwani ina manufaa makwuba kwenye mwili wa binadamu,
Kwa mdau anaefahamu jinsi ya kupika mboga tunaomba maelekezo yake ili tuanze...
Uzi wa kumkaribisha member yeyote wa JamiiForums karibu ya chakula cha mchana (lunch time)
Bila kusahau picha ya chakula itapendeza zaidi.
Karibuni lunch wapendwa
#demisi
#Mshanajr
#EverynSalt...
Asubuhi hii nimefika hapa Ngara, nimekula kitu Adimu kwa Mikoa mingine, Kitu hiyo ni KATOGO, hii kitu tamu sana. Wana Kagera Karibu, tujuzane na na Vyakula vingine vya Asili ktk Mkoa huu.
Mahitaji
Ndizi mshale 10
Utumbo wa ng'ombe 1/2 kilo
Nazi ya kopo 1
Nyanya 1
Kitunguu kikubwa 1
Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chakula
Olive oil kiasi
Limao 1
Chumvi
Curry powder 1 kijiko cha chai...
Napenda Kupika na najivunia kuwa sehemu ya kuwapikia wale nilio nao nyumbani pale niwapo nyumbani.....
Wale ambao pia wana hobby kama yangu basi njoo tuongee chakula gani au menu gani unapenda...
Mkate wa kidole ni mkate wa kiasili ulopikwa kutumia tui la nazi na ni mtamu sana. Ladha yake ni ya kipekee! Mkate huu una majina mingi kutokana na shepu unazoziunda madonge yake.
Kwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.