Mchanganyiko upi unaofaa kwa uji wa lishe?

Mahindi, ulezi, soya, mchele, karanga, mtama mweupe, ngano, ufuta

Niliambiwa Cocoa inaongeza sana maziwa, used kuchanganya kwenye uji

Pia jaribu unga wa mbegu za maboga, kama maziwa machache au si mazito
 
Vinawekwa kwa ratio gani??? Mfano mchele kilo 2 kwa mahindi kiasi gani, karanga, soya etc?
 
Acha kutumia soya
TUMIA MCHANGANYIKO HUU:
MAHINDI KILO 5
MTAMA MWEUPE KILO 3
NGANO 1/2 KILO
BOGA 1
 
Back
Top Bottom