Msaada wa haraka jikoni mbuzi wa baba mkwe

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,827
KUSEMA KWELI MIMI NAJUA KUPIKA KIAINA.KATIKA FAMILIA NI WALE WATU AMBAO KAMA KUNA MNUSO LAZIMA NIPANGWE JIKONI .JAPO SIO KWAMBA MIMI NDO TOP NIPO KAMA NAMBA TATU HIVI KATIKA WANAWAKE SITA SO SIO MBAYA UKIZINGATIA MIMI NDO MDOGO.SAA JMOSI KUNA MNUSO WA HATARE NA MIMI NDO MUHUSIKA NAMBA MBILI YAANI NATAKA WAGENI WAKASIMULIE KWAO.
TUNACHINJA MBUZI KADHAA NATAKA ASUBUHI NIPIKE SUPU MOJA MATATA SANA .NAOMBENI TIPS ZA SUPU KALI YA MBUZI
MIMI NAJUA ILE STYLE YA KUWEKA NYAMA JIKONI NA CHUMVI TU BILA MAJI NA KUKOROGA WEEE HADI ITOKE SUPU THEN NDO NIJE NIONGEZEE MAJI. NJIA NYINGINE TAFADHANI
 
navyojua supu hainaga mbwembwe !usisahau tu spices tu !na ukate karot ndefu ziwe kama sm c kama kidole chako zisiwe into cubes !tupia na viaz mviringo !karot weka za kutosha !
 
Maujuzi mengine unayapata youtube bibie.... mimi mapishi mengi nimejifunzia huko yaan easy.

ila ngoja wajuzi waje.
 
upload_2017-11-21_10-31-51.jpeg
 
namanisha karoti iwe ndefu ukisie mwenyewe urefu utakaokupendeza machoni pako !cubes zimekuwa too common mie nishazichokaga !kila la heri !kwenye pilau mama saga mwenyewe viungo!ila zile figo sijui zichome uwiiii! hyo supu mix na kichwa cha mbuzi asalaaleee
ahaaa hadi puumbu naweka
 
hiyo supu ni ya nyama kawaida au utumbo?

fanya mixer ya kichwa, kanyagio, ulimi, shingo, moyo na utumbo, weka njegere, hoho, karoti, vitunguu na mafuta, chemshaaaa.

hiyo supu ni balaa
 
Ukawamixia na mchemsho wa ndizi bila shaka kama hujaolewa huenda kuna atakayemuulizia mpishi kwa huduma zaid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom