Pishi la mlenda wa bamia bila kutumia magadi

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,959
2,938
Habari wapendwa.
Leo nawaletea pishi la mlenda wa bamia bila kuweka magadi.
MAHITAJI:
BAMIA
MAJANI YA MABOGA AU MATANGO,AU CHINESE
KARANGA
SUFURIA
KIJIKO MPIKICHO AU MWIKO
JINSI YA KUNDAA
CHAMBUA MAJANI YA MABOGA YAKOSHE KISHA YAWEKE NDANI YA BLENDER YASAGE YALAINIKE.
SAGA KARANGA KWA BLENDER

KOSHA BAMIA NA KATAKATA
WEKA MAJI KIDOGO
ZIBANDIKE JIKONI
BAADA YA BAMIA KULAINIKA WEKA KARANGA NA MAJANI ULIYOSAGA NDANI YA SFURIA YENYE BAMIA
ACHA VICHEMKE KWA DAKIKA 5,EPUA MLENDA WAKO TAYARI KULIWA
 
napenda mlenda kuunywa kama kiburudisho cha jioni tu au mchana....kula mlenda kama mboga nimeshindwaga kwakweli.
 
napenda mlenda kuunywa kama kiburudisho cha jioni tu au mchana....kula mlenda kama mboga nimeshindwaga kwakweli.
hongera kinachotakowa ni kijani namlendemko wake tu kuingia tumbo haijalishi umeula kama mboga au umeunywa kama juisi Mr Miller .hongera kwa hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom