Ushasikia hii: Mayonnaise wanasema ni ubongo wa wazungu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
6,052
7,057
Ni nini eti,

Mayonnaise imetengenezwa kwa vitu gan haswa ili nielewe katika mazingira yetu ya kiswahili. Na matumizi yake ni yapi. Leo nlikua kwenye Coaster ya Mwendamseke inayofanya safari zake toka Iringa - Njombe nikasikia akina mama waliokaa siti ya mbele yangu wakisema eti Mayonnaise ni ubongo unaovunwa toka kwenye maiti za watu jamii ya wazungu na inawekwa kwenye uji kumuongezea akili mtoto anaekua.

Ndo mayonnaise hyo?
 
Bonge la zuzu aisei..!
 
duh !na ww ukaamua kuileta humu ! aisee !na kweli njombe na mayonaise wapi na wapi mkuu !heheh limeni tu vindosa na ngano

mayonaise ni mchanganyiko wa egg yolk na mazaga zaga huko !ni very tastey ila inanenepesha ndan ya 1 wk !
 
Ile chupa ya mayonnaise wameandika kila kilichomo MLE.
 
duh !na ww ukaamua kuileta humu ! aisee !na kweli njombe na mayonaise wapi na wapi mkuu !heheh limeni tu vindosa na ngano

mayonaise ni mchanganyiko wa egg yolk na mazaga zaga huko !ni very tastey ila inanenepesha ndan ya 1 wk !
Asante mkuu, msimu wa kilimo ndo huu. Karibu
 
Ubongo wa wazungu..???

Hii ni much know kabisa kabisa

Lakin tunashukuru kwa Tangazo lako la Basi lako la IRINGA --- NJOMBE,

kama lengo lako ni haya ya mayonise ungegoogle pasina chaka

KUSAIDIWA TUU
Mayonise si special kwa ajir ya mtoto tuu kama zilivyo kuwa nguo na viatu vya kitoto

Mayonise hayana mahusiano yoyote na kitu chochote tutoka ktk mwili wa mwanaadam

MAYONISE ni mchanganyiko wa EGG YOLK, WHITE VINEGER, FRESH LIME/LEMON JUICE,SMALL AMOUNT OF SALT kwa mbali tena mbali sana utatia GOT/SHEEP CHEESE, ili iwe ktk standard halisi.

KUMBUKA UTUMIAJI WA MAYONISE UNAONGEZA NYEGE KWA KIWANGO KIKUBWA KTK MWILI WA MWANAADAM

KUWA MAKINI USILE KAMA HAUNA UHAKIKA WA KAZI

YOU ARE WELCOMED
 
Biashara ya mabasi mie naijulia wap mkuu, kazi za warabu hizo. Mie msafwa bwn
 
Ni nini eti,

Mayonnaise imetengenezwa kwa vitu gan haswa ili nielewe katika mazingira yetu ya kiswahili. Na matumizi yake ni yapi. Leo nlikua kwenye Coaster ya Mwendamseke inayofanya safari zake toka Iringa - Njombe nikasikia akina mama waliokaa siti ya mbele yangu wakisema eti Mayonnaise ni ubongo unaovunwa toka kwenye maiti za watu jamii ya wazungu na inawekwa kwenye uji kumuongezea akili mtoto anaekua.

Ndo mayonnaise hyo?
Ndio nyie mmepita hapa Nyigo?
 
Back
Top Bottom