Well for me natumia hii njia na zinakaa kwa muda mrefu sana, naziweka kwenye container au organizer kama hapo nazijaza maji😊 njia ziko nyingi wewe unafanyaje?
Hi guys,.hope mko poa
Tunavyoendelea kumwomba Mungu kuelekea kesho D9 basi tusisahau kula..... Haya tuanze
Ukishaweka mchele wako kwenye rice cooker au vyovyote vile utakavyoupika,. Pembeni...
Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku
Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani...
Habari!
kuna recipes ambazo naona wanatumia “All Purpose flour” na zingine zinatumia “Heavy cream”
Je, katika ile mifuko midogo ya Unga wa Ngano wa Azania (mfuko wa rangi ya nyeupe na kijani) na...
Beluga caviar ni chakula ghali sana duniani, na bei yake inaanzia takriban $7,000 hadi zaidi ya $22,000 kwa kilo ($3,200 hadi $10,000 kwa pauni), bei zinatofautiana kulingana na ubora na chanzo...
Blenda ikitumika vizuri hudumu zaidi. Haya ni maelekezo kutoka kwenye manual:
Soma kitabu/karatasi ya maelezo (user manual) juu ya namna sahihi ya kuitumia blenda yako husika
Hakikisha jug imekaa...
Pika kande lako liive vizuri ,nunua maarage mazuri (mapya) ambayo hayajakaa dukani sana ambayo ni ya zamani yana rangi ya kahawi hayatakupa matokeo mazuri
Ukishayapika yakiiva unga kawaida weka...
Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo.
Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
Hell kwanza poleni na misuko suko ya uchaguzi mlio poteza wapendwa wenu poleni sana
Hivi ndio viungo vyetu tulivyo tumia
Weka sufuri jikoni mimi leo nilitamani tu kupikia jiko la mkaa so...
Hell
Mliomba sana nipike kashata za nazi hizi hapa
Kwanza kuna nazi yako vzr tu
Ukisha maliza anza kuweka maji kwenye sufuria yako kisha weka sukari pamoja na vanila acha vichemke kiasi iwe...
Aisee msema ukweli mpenzi wa Mungu, utamu wa kitimoto harufu ile.
Sasa siku hizi unakula kitimoto ila ni kama nyama ya ng'ombe tu.
Kipindi sie tunakua, miaka hiyooo, mzee basi akirudi na...
Mwachiluwi
Karibuni wale wote wapenda mapishi mimi napenda sana kujifunza kila leo.
Changamoto yangu maziwa situmii japo hata nikitumia huwa hayana madhara yoyote.
Je naweza kutumia maji...
Wasalaam,
"I'm not saying I'm addicted to coffee, but I don't know what I'd do if I couldn't get my daily cup of caffeine"
I've been up since the crack of dawn, YES! I'm an early bird, not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.