Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani. Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?
7 Reactions
110 Replies
4K Views
Hellow Tupike keki ya kawaida ya kula tu nyumbani kwa hamu tu na maandalizi yake ni yakawaida kabisa Kwanza tutaanza kuandaa vifaa vyetu Kisha tutaanza kuweka mayai matatu na kukoroga mpaka...
22 Reactions
106 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa kupika ntakua nashare baadhi ya mapishi tofauti tofauti: mapishi haya unaweza ongeza au kupunguza vitu kutokana na upendeleo wako (hivyo sifungamani na mtu yyt yule). 1. UPISHI...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
kitalembwa aliombaa hii Kwanza muandae kuku wako au samaki vizuri mimi nilipata kuku wa kisasa nika mkata nusu kama hivi Kwanza nilimuwekea viungo Food color Tangawizi ya kusagwa na chumvi...
40 Reactions
179 Replies
6K Views
Leo nikaona vyema kuandaa chakula hiki chepesi sana kupika Kwanza nilianza kumenya viazi kama unavyo ona Niliacha vichuje maji vizuri baada ya kuosha then nika menya ndizi na kuweka kwenye...
23 Reactions
81 Replies
3K Views
Kama unapenda ubunifu wa mapishi mbalimbali ya mboga basi pitia huu uzi Unajua ufundi na ladha viko kwenye mboga na sio ugali au ubwamba?
9 Reactions
130 Replies
3K Views
Hellow simba pole leo mlikuwa mnakomaa kiume na tumejua kuwa bila marefa hamtoboi 😂 Turudi class Kwanza andaa mchele wako vizuri chambua kama unaweza kuloweka loweka mimi sikuloweka kwasababu...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
Hell Kwanza niliandaa ndizi zangu vizuri kama unavyo ziona wakat uho nyama ipo jikoni ina ivaa Kisha baada ya nyama kuiva nika weka karoti ya kusaga na ndizi Then nilitenga supu ile ya kwanza...
12 Reactions
118 Replies
4K Views
Wataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu.. Aksante.
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu. Huwa naona na kusikia watu wanasifu kiporo cha wali maharage au wali kisamvu na chai ya maziwa eti ni...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge. Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
1 Reactions
1 Replies
535 Views
Hello Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku...
29 Reactions
239 Replies
8K Views
Kitimoto Rosti Diet💦🙆🏽‍♂️🇹🇿 Nipo viwanja sisi hatunaga weekend 😂😂😂🔥 Anastasia21
14 Reactions
63 Replies
3K Views
Leo tupike birian nzuri twende pamoja sito fundisha tena hii Kwanza kaanga vitunguu vyako vizuri tu viwe golden blown ndii uvitoe uweke pembeni viji chujee mafuta mimi nime tumia vitunguu kilo 2...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
jamani mi na mme wangu tunapenda sana kupika, na kila weekend hupenda kujaribu recipe mpya. last sunday tulipika eggplant parmersan. ni chakula kizuri sana na kina virutubisho vya kutosha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma Wa Tanduri Vipimo Mchele.................. 4 vikombe Kuku.................. 1 Vitunguu.................. 3 Nyanya/tungule.................. 4 Zabibu...
11 Reactions
20 Replies
9K Views
mahitaji 1. Nazi 2. Punje kadhaa za vitunguu swaumu kadri upendavyo 3. Karoti 4. Corriender leaves 5. Pilipili 6. Ndimu /limao 7. Maji kiasi kuna nazi, grate karoti, menya swaumu ...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Pweza wanaouzwa mtaani mara nyingi huandaliwa kwa njia za kiasili, ambazo ni rahisi na zinazojulikana katika maeneo mengi ya pwani ya Afrika Mashariki, hasa Tanzania. Kwa kawaida, hawa pweza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom