Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wasalaam, "I'm not saying I'm addicted to coffee, but I don't know what I'd do if I couldn't get my daily cup of caffeine" I've been up since the crack of dawn, YES! I'm an early bird, not...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
kuna mchongo nausikilizia apa wakuu
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Hell Kwanza osha mchicha wako vizuri mimi nime tumia mchicha wa kungo’a kule kwetu tuna uita ivyo una kuwa na michanga mingi so uoshe vizuri kisha ukate au una weza usiukate kisha weka pembeni...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
I hope mko vizuri Na mnaendelea na majukumu Leo tupike samaki wa nazi(fish curry) Mahitaji Samaki waliokaangwa Karoti,hoho,kitunguu maji 1,tangawizi,kitunguu swaumu punje chache,nyanya...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Kwanza utaanda unga wako wa ngano kisha kitunguu na karoti kama una penda hoho uta weka, kitunguu kisage usikate na hoho saga kwenye vile vidude vinauvyo uzwa buku buku, baada ya hapo uta...
8 Reactions
19 Replies
695 Views
Hello Huu naona mdio chakula chepesi kupika kwa haraka na kitamu hasa pale unapo kuwa umeshikwa njaa na tumbo lina tetemeka Uta chukua ndizi zako mimi nimetumia mzuzu nikazimenya vzr kisha...
15 Reactions
159 Replies
2K Views
Linapo kuja swala la number watu wengi ni wavivu sana, na tumebakia kufuata mikumbo tu kwamba Umeme ni ghari sana kupikia na gas ni rahisi sana ila kwenye hesabu ni tofauti kabisa. Unit 1 kwa...
67 Reactions
268 Replies
30K Views
Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie Mwanaume nimeamua kupika Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na...
8 Reactions
88 Replies
5K Views
Najaribu kutengeneza bisi kwa popcorn mashine lakini sifanikiwi nyingi zinauungua tu,naweka mafuta kwenye kichombo,yakichemka naweka bisi,sasa shida ni kwamba chache zinapasuka vizuri ila. nyingi...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Hell Tupike chapati za mayai za kukanda Kwanza utaweka unga wako ulio chekechwa kwenye bakuri uta weka na blue band then chukua mayai yako yakologe pembeni kisha uweke pia the kanda kama huna...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Jana nikajitutumua nipike pilau eeh waah ni simple sana hakuna makolokolo mengi chap Kwa haraka Hivi ni viungo vyangu Kuna mchele nyamavitunguu vitatu vikibwa chumvi vitunguu saumu pamoja na...
12 Reactions
12 Replies
582 Views
Wazima wa afya? Natumain mmekula na kushiba Leo nawaletea pish ya dagaa na ugal chakula pendwa Cha waafrica Hivi ni viungo vyangu dagaa ambao ni wale wasio na mchanga wa kavu nimewakaanga...
16 Reactions
60 Replies
2K Views
Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku? Yaani eti anakula matunda tu analala! Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu. Saa 2 nikala...
39 Reactions
83 Replies
11K Views
Hello Kwanza zioshe vizuri sana karanga zako kisha weka chumvi ya kutosha, then una ziaacha kwa muda fulani ndio una weka jikoni kwa moto mdogo kama hivi Endelea kukologa pole pole mpka...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa). Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au...
8 Reactions
92 Replies
3K Views
Kwangu Mimi ni Veges Fruits Beef/chicken Cheese/Butter Milk Mayo/Jam Spices/sauce Eggs Bites Drinks What about you?
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
7 Reactions
116 Replies
5K Views
Nauliza tu. Nikiwa nakula kwa wiki angalau mara mbili hivi; kuna madhara yo yote naweza kupata? I can't believe this 👐
16 Reactions
110 Replies
3K Views
Back
Top Bottom