Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,961
- 67,517
Hell kwanza poleni na misuko suko ya uchaguzi mlio poteza wapendwa wenu poleni sana
Hivi ndio viungo vyetu tulivyo tumia
Weka sufuri jikoni mimi leo nilitamani tu kupikia jiko la mkaa so nikatengeneza mafiga nikaanza kupika
Kwanza weka mafuta kwenye sufuria acha yapate moto kabisa
Baada ya hapo subiri yapate moto kabisa kisha weka kuku pamoja na kitunguu sahumu kisha koroga mpaka kitunguu kiive vzr
Baada ya hapo weka kitunguu maji kisha kikolege nacho kiive ndipo uweke viuongo vingine kama vile hoho na karoti
Baada ya hpo weka mchele wako kisha na ukoroge vizuri lakin mda uho una kuwa ushaweka kiungo cha pilau mix
Ndipo una weka mchele
Baada ya hapo weka maji ya moto kisha utaweka njegere pamoja na viazi
Baada ya hapo palia chakula chako mimi ndio mfumo wangu sisubiri maji yakauke
Moto ulikuwa mkali sana so niliupunguza na kumwagia maji ili ukali upungue
Baada ya hapo nika ipua na kuanza kuweka kwenye poti
Chakula kiko vzr sana na wewe una weza jaribu