Habari zenu?
Muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. Mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde...
hii ni mojawapo ya sectors za malavi davi inakyokuwa overlooked ila aparently inasababisha matatizo... sasa wenye uzoefu tupeane maujuzi humu,tusije tukaachika bure lol... tufundishane namna...
1. Mapishi Kababu za nyama (Meat Ball)
Leo tuangalie mapishi ya meat ball (kababu) za nyama ya ng'ombe. Ni kitafunwa kizuri sana kwa asubuhi au hata jioni.
Mahitaji
· Nyama ya kusaga 1/2kg
· Yai...
Habari menu,
Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana na kisu vidole.
Lazima nitumie chopping board kukata nyama, mboga zamajiani...vitunguu...
MAHITAJI
[*=left]1 kilo unga wa ngano
[*=left]240 ml maji ya vugu vugu
[*=left]2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula
[*=left]2 asali kijiko kidogo cha chai
[*=left]1 chumvi kijiko...
Ukweli kiti moto kina shombokali na ukikosea kuipika itakushinda kula hasa roast. Giligiliani majani haya hukatashombo yote.
Kata giligilani uchemshe pamoja na limao au ndimu. Maji haya...
Hello, wakuu naomba msaada wa jinsi ya kukaanga karanga kwa ajili ya kuuza. Je, naweza tumia microwave katika kukaangia karanga au je, nitumie nini katika kukaanga karanga?
Msaada tafadhali
Huu ni ugali usioharibika hata ukikaa mwezi mmoja, Ugali huu unaitwa Rowe hapa kwetu Kigoma.
Unatengenezwa kutokana na muhogo, Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani. Unaandaliwa...
Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku.
Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu...
Salaam JF,
Leo napenda kushea nanyie jikoni kwangu,jinsi ya kupka majani ya maboga yakawa matam bila kutumia gharama kubwa.
@Mahitaji
majani ya maboga fungu1(kulingana na mahitaji ya familia...
Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.
Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo...
Jinsi ya kupika supu ya ulimi wa ng'ombe/nyama ya ng'ombe/mkia wa ng'ombe/makongoro/nyama ya mbuzi/samaki/kuku/utumbo
Mahitaji
Ulimi wa ng'ombe/nyama ya ng'ombe/mkia wa...
Wakuu Jana nimejichanganya sehemu moja Mwanza nikaambiwa wanapika birian zuri sana nilichokutana nacho Mungu anajua.
Asanteni sana Mwanza [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Hello wapishi.
Leo ni siku ya sikukuu wa wenye imani ya dini ya Kiislamu, ila kwa kiwa sisi ni wamoja huwa tunasherehekea pamoja.
Sasa leo unapika nini siku hii? Tushirikishe kisha tupia picha...
Wapendwa naomba kufahamu unga wa dengu hutumiwa kupikia nini?
========
Wadau washauri jinsi ya kutumia
Bagia,
Kachori kwa hapa unatumia viazi unavichemsha vikiiva unavipondaponda kisha...
Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu...
Mara ya kwanza naonja Kimchi ilikuwa kwenye hafla fulani huko Jijini Dar es Salaam. Nillikuwa na shauku sana kuonja menu ambayo naiona tu kwenye series.
Of course nilijua kitakuwa ni chakula...
Mahitaji
-Kuku 1
-Karoti 3
-Vitunguu 2
-Vinega
-Pilipili kiasi
-Mafuta ya kukaanga
Jinsi ya Kuandaa
-Kata kata kuku
-Kaanga kuku
-Weka vinega kwenye bakuli katia humo na pili pili...